Keshasepa huyo Pro-USA.Mleta mada....upoooooo??? Ama umeisha'teleza'?
... tangu 1992 (30 years ago) zimetengenezwa 30 tu? Yaani wastani wa 1 kila mwaka? Tatizo nini? Mtaji? Soko? Au? Hizo sio ndege za kupanda.
Yaani Uhakika Bro wasemachoDaah! Warusi mmefanya mashambulizi mithili ya mvua ya makombora ya Urusi
Yaani hata kama ameshajibiwa bado mnakazia zaidi just to make sure asee ni hatari sana.
Naona mnaiga zile teknik za mashambulizi kutoka medani mojakwamoja mnazileta uraiani. Ni mvua ya replies


