Kumbe polonium 110 ndio chanzo cha mwakyembe na mwandosya

Kweli siasa ngumu kwa mara ya kwanza Mwakyembe toka uchaguzi mkuu amekaa Kyela wiki nzima akipigia kampeni group yake kwa sera ya sumu..Hizo zilikuwa mbinu za uchaguzi wa ccm leo.Hapa Kyela group la Mwakyembe sera ilikuwa ni sumu,sumu sumu sumu.Ukimuliza umefanya nini ..yeye sumu sumu sumu.
 
Usiidharau TISS,wana uwezo wa kuyafanya yale usio dhania.

Tiss hawana lolote, hawa wanaoteka watu kutupa mabwepande? Tena mawasiliano yote na mtu wanaenataka kumdhuru wanafanya kwa namba zao za simu zinazotambulika. TISS vilaza tu!
 
Mkuu kama ni polonium 210 wamepigwa kweli basi uwezekano wa kupona ni mdogo lazima wafe kwa mda mfupi sana,na nikweli ile haina dawa na maranyingi inatumiwa lead katika kuipunguza lakini huwezi kuitumia lead katika mwili wa binadamu manake ni sumu.

Hi polonium handling yake ni too expensive na kuisafirisha hiyo ni ndege inakodishwa kabisa kama ni kutoka urusi mpaka tz,na wanakua wataalamu maalumu na vifaa maalumu na mara nyingi hiyo inakuaga ni deal ya kijasusi katika level ya nchi na nchi kwa hiyo mie bado namashaka na ukweli kuwa waliwekewa polonium 210

Sasa ilifikaje uingereza na security kubwa waliokuwa nayo? Pia walii-track vipi waingereza hata wakajuwa ndege gani iliokuja nayo? wanavyosema waingereza (scotland yard) ni kwamba aliekuja nayo alikuja kwa kiwango kidogo sana, na aliingia nayo nchini kirahisi kwani haikuwa detectable, baada ya kufariki yule mgonjwa na kufanyikwa kwa texology test ikajulikana ni radio active poloniom 210 waliweza kuidetect hata ndege iliyopakiwa kutoka urusi, na haikuwa ndege maalum, ni ya kawaida british airways from russia to germany ambapo huyo aliekuja nayo alipita transit (BA875 and BA873 ) na pia ile ya germany-london (BA872 and BA874) nafikiri pitia hii part ya report utaona it is possible kwa hili kutokea nchini:

"Polonium trailsDetectives traced three distinct polonium trails in and out of London. The trails were left by Litvinenko, Andrei Lugovoi and Dmitry Kovtun. The patterns and levels of radioactivity they left behind suggested that Litvinenko ingested polonium, whereas Lugovoi and Kovtun handled them directly. The human body dilutes the polonium before excreting in sweat, which results in a reduced radioactivity level. There were also traces of Po-210 found at the "Hey Jo/Abracadabra" bar, "Dar Marrakesh" restaurant, and Lambeth-Mercedes taxis.
The poisoning of Litvinenko took place at around 5 pm of 1 November in the Millennium Hotel in Grosvenor Square. The bus he travelled in to the hotel had no signs of radioactivity – but large amounts had been detected at the hotel. Plonium was subsequently found in a fourth-floor room and in a cup in the Pine Bar at the hotel. fter the Millennium bar, Litvinenko stopped at the office of Boris Berezovsky. He used a fax machine, where the radioactivity was found later. At 6 pm Akhmed Zakayev picked Litvinenko up and brought him home to Muswell Hill. The amount of radioactivity left by Litvinenko in the car was so significant, the car was rendered unusable. Everything that he touched at home during next three days was contaminated. His family was unable to return to the house even six months later. His wife was tested positive for ingesting polonium but did not leave a secondary trail behind her. This suggested that anyone who left a trail could not have picked up the polonium from Litvinenko (possibly, including Lugovoy and Kovtun).
Besides Litvinenko, only two people left the polonium trails: Lugovoy and Kovtun who were school friends and worked previously for Russian intelligence in the KGB and the GRU respectively.These people handled the radioactive material directly and did not ingest it, because they left more significant traces of polonium than Litvinenko.
Lugovoy and Kovtun met Litvinenko in the Millennium hotel bar twice, on 1 November (when the poisoning took place), and earlier, on 16 October. Trails left by Lugovoy and Kovtun started on 16 October, in the same sushi bar where Litvinenko was poisoned later, but at a different table. It was assumed that their first meeting with Litvinenko was either a rehearsal of the future poisoning, or an unsuccessful attempt of the poisoning.
Traces left by Lugovoy were also found in the office of Berezovsky that he visited on 31 October, a day before his second meeting with Litvinenko. Traces left by Kovtun were found in Hamburg, Germany. He left them on his way to London on 28 October-31. The traces were found in passenger jets BA875 and BA873 from Moscow to Heathrow on 25 and 31 October, as well as flights BA872 and BA874 from Heathrow to Moscow on 28 October and 3 November.
Andrei Lugovoi has said he flew from London to Moscow on a 3 November flight. He stated he arrived in London on 31 October to attend the football match between Arsenal and CSKA Moscow on 1 November. When the news broke that a radioactive substance had been used to murder Litvinenko, a team of scientists rushed to find out how far the contamination had spread. It led them on a trail involving hundreds of people and dozens of locations.[SUP]"[/SUP]
 
Mkuu kama ni polonium 210 wamepigwa kweli basi uwezekano wa kupona ni mdogo lazima wafe kwa mda mfupi sana,na nikweli ile haina dawa na maranyingi inatumiwa lead katika kuipunguza lakini huwezi kuitumia lead katika mwili wa binadamu manake ni sumu.

Hi polonium handling yake ni too expensive na kuisafirisha hiyo ni ndege inakodishwa kabisa kama ni kutoka urusi mpaka tz,na wanakua wataalamu maalumu na vifaa maalumu na mara nyingi hiyo inakuaga ni deal ya kijasusi katika level ya nchi na nchi kwa hiyo mie bado namashaka na ukweli kuwa waliwekewa polonium 210

Hapo kwenye red usiwe na wasi wasi maana kuna ndege ya Rais ilikuw inakweza kurudia kimada mmoja, iweje ishindwe kubeba mzigo kama huo.

Lakini pia siyo kweli kwamba kuisafirisha ni hatari kiasi hicho unavyoandika. Po 210 inatoa chembe za alpha, lakini chembe hizi ni nzito na spidi ndogo na zinazuiliwa kiurahisi kabisa hata kwa kipande cha karatasi. Kwa maana nyingine hiyo Polonium unaweza ifungia ndani ya kopo na ukaisfirisha bila hatari kwako.

Hatari kubwa ya hii Polonium ni pale ukiwekewa kwenye chakula. Bila kula matatizo yake ni madogo, labda ndo maana akina Mwa, bado wako hai.

TZ tunaiga kila kitu. Kama kweli hadithi hii ni sahihi basi we waache hawa wanasiasa n waguse hizi anga zetu za kitaalaamu tu!
 
Nadhani hakuna ukweli hapa. Ni Urusi peke yake ndiyo kwa sasa ina hiyo sumu na handlers wake.

Jiulize: ni Mtanzania gani angeweza kuwawekea hiyo sumu bila kudhurika mwenyewe? Tanzania haina hiyo sumu. Hata Marekani hawana. BBC walitangaza ni Urusi peke yake ndio inao uwezo wa kuwapa watu pollonium powder kwa sasa.

Augustine Moshi: Jambo hili ni zito linahitaji tafakari. Dunia ya leo siyo ile ya jana kwa kuwa teknologia imepiga hatua sana. Si busara kukataa moja kwa moja yanayosemwa hasa hili lenye utata mwingi. Yako mambo mengi tusiyoyajua hasa ya kijasusi. Jambo hili tusilichukulie juu juu hasa kipindi hiki cha mageuzi ya kisiasa kuelekea damokrasia ya kweli. Hebu zingatia hali ilivyo tete kisiasa! Huoni kama CCM na serikali yake wako tayari kufanya lolote baya ili waendelee kutawala kwa kupindisha ukweli na kuendeleza dhuluma na ghiliba??? Kumbuka ule usemi usemao, "Lisemwalo lipo, kama halipo laja"
 
Mkuu kama ni polonium 210 wamepigwa kweli basi uwezekano wa kupona ni mdogo lazima wafe kwa mda mfupi sana,na nikweli ile haina dawa na maranyingi inatumiwa lead katika kuipunguza lakini huwezi kuitumia lead katika mwili wa binadamu manake ni sumu.

Hi polonium handling yake ni too expensive na kuisafirisha hiyo ni ndege inakodishwa kabisa kama ni kutoka urusi mpaka tz,na wanakua wataalamu maalumu na vifaa maalumu na mara nyingi hiyo inakuaga ni deal ya kijasusi katika level ya nchi na nchi kwa hiyo mie bado namashaka na ukweli kuwa waliwekewa polonium 210

Lakini tujiulize, yule Mrusi aliyeuawa London, hiyo polonium ilisafirishwaje, bila waingereza kujua? Inawezekana.
 
Nadhani hakuna ukweli hapa. Ni Urusi peke yake ndiyo kwa sasa ina hiyo sumu na handlers wake.

Jiulize: ni Mtanzania gani angeweza kuwawekea hiyo sumu bila kudhurika mwenyewe? Tanzania haina hiyo sumu. Hata Marekani hawana. BBC walitangaza ni Urusi peke yake ndio inao uwezo wa kuwapa watu pollonium powder kwa sasa.

what are you trying to justify here? kwamba hawakuwekewa sumu au waliwekewa na mtu wa nje ya nchi kwa sababu hapa au hata taifa kubwa kiuchumi,kisiasa, kiteknolojia na kijeshi la marekani hawana hii sumu/hawana uwezo wa kuitengeneza hii sumu.

piga piga domo la kuchokoza maslahi ya taifa aka maslahi ya mabepari/mabwanyeye wachache walioshikilia mirija ya unyonyaji hapa tanzania na utaona kama hii sumu iko urusi peke yake au la
 
Hapo kwenye red usiwe na wasi wasi maana kuna ndege ya Rais ilikuw inakweza kurudia kimada mmoja, iweje ishindwe kubeba mzigo kama huo.

Lakini pia siyo kweli kwamba kuisafirisha ni hatari kiasi hicho unavyoandika. Po 210 inatoa chembe za alpha, lakini chembe hizi ni nzito na spidi ndogo na zinazuiliwa kiurahisi kabisa hata kwa kipande cha karatasi. Kwa maana nyingine hiyo Polonium unaweza ifungia ndani ya kopo na ukaisfirisha bila hatari kwako.

Hatari kubwa ya hii Polonium ni pale ukiwekewa kwenye chakula. Bila kula matatizo yake ni madogo, labda ndo maana akina Mwa, bado wako hai.

TZ tunaiga kila kitu. Kama kweli hadithi hii ni sahihi basi we waache hawa wanasiasa n waguse hizi anga zetu za kitaalaamu tu!

Hivi mnajua kwamba kuna dada aliyekua anasafisha ofisi ya waziri ambaye baada ya jamaa kuanza kuumwa alitoweka na anasadikika alikufa. na hii kitu iliwekwa kwenye sabuni ya kuoshea mikono chooni kwa mheshimiwa (na huyu mtumishi wa usafi)...itakua ni Tanzanian agents ndiyo walihandle hii kitu na hivyo jawakua na uwezo wa hali ya juu au uzoefu ndiyo maana waheshimiwa wetu bado wazima hadi leo hii. Hawa walitakiwa wafe taratibu taratibu kwa kudhoofu mwili. dose and, or handling ilikosewa, ila next time hawatakosea, mtu lazima aondoke
 
Kwa elimu yangu pollonium 210 ikiwekwa kwenye container iliyotengenezwa kwa lead inakuwa salama kusafirishwa, pale unapotaka kuitumia ni lazima uji-insulate kwa special apron. Katika hili lililompata mhe. Mwakyembe ni very possible in the sense that the lady who was working in his office died, inawezekana alii handle with no pre caution hii toxic material.
Kama itakuwa hivyo bila shaka hata wale waliohusika kumzika maiti hawaku-handle corpse ipasavyo.
 
Kwa vyovyote vile, kama serikali ya Tanzania ingehusika kuwawekea sumu hawa mawaziri, basi singetegemea waendelee kuweko serikalini. Sidhani kuna ukweli kwenye madai haya.[/QUOTE]

Mvuto wa Mwakyembe, Mwandosya na Magufuli katika jamii ni mkubwa, huwezi kuwaondoa ktk serikali bila ya umma kuhoji, pia mimi nafikiri it's a tricky kuwaacha ktk serikali ili watu wasiuone ubaya wa serikali ya Mafisadi.

Mafisadi ni wenye nguvu sana, ni sehemu ya serikali au ni washirika wakubwa wa viongozi wa serikali. Binafsi nafikiri nchi hii hatuna serikali bali tuna mafisadi tu, wao ndo waniongoza nchi!
 

po210 au aina kama hizo za sumu, haziwezi kupatikana kwa mtu wa kawaida na, ni lazima mtu mwenyenayo awe kwa namna moja ama nyingine yupo na secret sevice.

Kwa ishu kama ya Mwakyembe, Tiss kama idara inaweza isiwe imehusika kabisa na kadhia hiyo, lakini mfanyakazi au kikundi cha wafanyakazi wa Tiss (kwa ubinafsi wao) kinaweza kiwe kimehusika kwa kupewa mwongozo na/au viongozi fulani wenye nguvu ya kifedha na ushawishi aliye serikalini kwa manufaa yake au katika kulipiza kisasi.

Nadhani mlishawahi isoma barua ya Mwakyembe kwenda Police, iliyo lalamikia baadhi ya wafanyakazi wa UWT na ikiwataja kwa majina yao, magari waliyo tumia walipomfuata mwakyembe mbeya, walivyobadilisha namba ya magari, walipokuja Morogoro na kuchukua gari la Vodacom........walipo mpokea Mwuwaji wa Alshabab airport Dar, namb za gari ya police na ubalozi fulani ziliozokuwapo katika msafara huo, na mtoto wa kiongozi fulani anayeitwa mstaafu ndiye aliekuwa akiratibu shughuli zote hizi.........haya yote aliyaripoti miezi mingi kabla ya kuugua kwake. Tukio hili linafuatia lile la kunusurika kugongwa na lori lililo wachomekea na kupotea kimiujiza.

Hivyo huwezi kusema kwa hakika ni kwanini Mwandosya, Mwakyembe au hata Ulimboka hawawezi kuwataja tena waliowafanyia hivyo, na kuishia kuzungusha ukweli.......ama wanaweza au wamepewa nafasi ili kuwapoza machungu......! Ni wao tu siku moja wakiamua kufunguka kueleza ukweli.........pengine wakifunguka tu, wanajua Polonium 600 inawangoja, kama sio Mabwe-Zima maana Mabwe-Pande watapona tena.

Kibanga Msese
 
Lakini tujiulize, yule Mrusi aliyeuawa London, hiyo polonium ilisafirishwaje, bila waingereza kujua? Inawezekana.

Usafirishaji wa polonium ni rahisi more than it's made out to be by most contributors to this topic

Inasemekana ni urahisi huo wa usafirishaji wake ndo utakaofanya wauaji wapende kuitumia aina hiyo ya sumu

Haipenyi ngozi. Na kama itapenya ni sehemu zenye majeraha. Watu walokwisha kufa kwa hii polonium 210 aidha walilishwa mfano Alexander Litvinenko au Yasser Arafat hata hivyo kwa Yasser Arafat bado pana utata ni vile tu kiasi cha kustaajabisha kimekutwa kwenye nguo zake

Sasa be the one to decide mpumbavu gani ategeshe hiyo polonium kwenye sabuni when it can't even penetrate the skin

Halafu mpaka yule Mrusi aliyefia Uingereza anakufa, jinsi ya kufanya diagnosis ya hii polonium ilikuwa ni vigumu. Waingereza mwanzo waliamini ilikuwa Thallium ambayo pia ni very radioactive. Nina mashaka Apollo wanavyo vifaa vinginevyo hii habari yote ni uvumi tu

MY OPNION: wanaweza wakawa poisoned na any HEAVY METALS e.g Mercury na arsenic kwa njia ya chakula na symptoms zake zinaonekana kwa Dr. Mwakyembe
 
Guys hiyo kitu bado ipo mikononi mwa watu believe me itatumiwa tu tena, tuliambiwa hapaha[a JF nani aliileta na kwa lengo gani. It is about time kuwaamabia wamerakani kuwa hii kitu inaweza kuchukuliwa na magaidi ikawa tishio kwa usalama wa wamarekani. Ni vizuri ikafikishwa CIA nao watajua kuwa kuwa dangerous toxic material is in someone hands in Tanzania and that can pose a danger to Americans, hapo ndio tunaweza kuwa na nafuu.
Mh! usalama wa Taifa wana kazi gani nchi hii au ni kwa ajili ya CDM na watu type ya Dr. Ulimboka? maana mambo mazito kama haya ndiyo sehemu yao ya kujidai na kuonyesha utaalamu wao sio hadi Wamarekani waje kutusaidia tutasaidiwa mangapi?
 
[h=2]Polonium-210: Fact Sheet[/h]Polonium-210 is a radioactive material that releases alpha particles. Its typical uses include devices that eliminate static charges and dust in textile mills, photographic plates and phonographs/records. It is found in small amounts as a contaminant in cigarette smoke and is likely a significant contributor to lung cancer.1,2

Alpha particles are ionizing radiation that can be stopped simply with a piece of paper, or by the dead superficial layer of skin. The particles release all their energy in a very short distance, so when polonium-210 is placed on the skin, it is not dangerous; however, when taken into the body via inhalation or ingestion, polonium can enter the blood stream and alpha particles can impact organs and vital tissues directly.

Polonium-210 is excreted in feces and urine over a period of several months.3

The polonium-210 dose that will kill 50 percent of persons who internalize it is about 100,000th of a milligram, one-million times more toxic than cyanide.4

Some commercially manufactured antistatic devices may contain as much as 500 micro-curies of polonium-210, theoretically enough radioactive material to kill 5,000 persons.5 However, this polonium is affixed in a gold foil amalgam; extremely sophisticated techniques and advanced technical knowledge would be required to weaponize such polonium.6

In its purest form, the amount of polonium-210 that would fit on the tip of a pen (0.5 mm3), if properly dispersed, could kill 500 persons. In the U.S., access to pure radioactive material such as polonium-210 is heavily government-regulated and requires a license for its handling and use.

Dimercaprol, also known as British Anti-Lewisite, is a chelating agent that may be effective as a treatment for Polonium-210 poisoning.
 
Back
Top Bottom