mkuu ni polonium 110 au 210?hebu weka sawa hapo ndio tuanze kujadili.
Hakika jamiiforum ni darasa kubwa. Ahsanteni kwa kunijuza
Nadhani hakuna ukweli hapa. Ni Urusi peke yake ndiyo kwa sasa ina hiyo sumu na handlers wake.
Jiulize: ni Mtanzania gani angeweza kuwawekea hiyo sumu bila kudhurika mwenyewe? Tanzania haina hiyo sumu. Hata Marekani hawana. BBC walitangaza ni Urusi peke yake ndio inao uwezo wa kuwapa watu pollonium powder kwa sasa.

I accept correction. Nilichopashwa kusema ni aina ya pollonium iliyomuua Mrusi Uingereza inapatikana Urusi peke yake, na ni mali ya serikali. Ndio ushahidi waliotumia Waingereza kuwalaumu Warusi.
Handling ya hii sumu ni sophisticated kiasi cha kutia wasiwasi kama Tanzania inaweza kuitumia.
Kwa vyovyote vile, kama serikali ya Tanzania ingehusika kuwawekea sumu hawa mawaziri, basi singetegemea waendelee kuweko serikalini. Sidhani kuna ukweli kwenye madai haya.
Nadhani hakuna ukweli hapa. Ni Urusi peke yake ndiyo kwa sasa ina hiyo sumu na handlers wake.
Jiulize: ni Mtanzania gani angeweza kuwawekea hiyo sumu bila kudhurika mwenyewe? Tanzania haina hiyo sumu. Hata Marekani hawana. BBC walitangaza ni Urusi peke yake ndio inao uwezo wa kuwapa watu pollonium powder kwa sasa.
Sorry darkman, mkuu hivi Polonium na Uranium ni ipi mbaya zaidi?? na hivi vyote ni viasilia vya nuclear??
kama ni uranium basi tumekwisha vile kuanzia mwakani tutaichimba hapahapa bongo!
Kama ni mfuatiliaji wa habari humu jf, kuna habari zinasema kuwa mzigo ulinunuliwa urusi na ulisindikizwa mpaka hapa TZ na jasusi wa kirusi ambaye alikuja kuwapa vijana mafunzo namna ya kuitumia na namna ya kuihifadhi.Nadhani hakuna ukweli hapa. Ni Urusi peke yake ndiyo kwa sasa ina hiyo sumu na handlers wake.
Jiulize: ni Mtanzania gani angeweza kuwawekea hiyo sumu bila kudhurika mwenyewe? Tanzania haina hiyo sumu. Hata Marekani hawana. BBC walitangaza ni Urusi peke yake ndio inao uwezo wa kuwapa watu pollonium powder kwa sasa.
Asante kwa taarifa Mkuu. Edit na heading 210 instead of 110.Wazee nimepata taarifa kutoka mbeya ambako waheshimiwa walikuwa wanatoa sadaka ya shukrani kwa mungu kutokana na maswahibu yaliyowakuta. Walikwenda na riport za ugonjwa wao uliokuwa unawasumbua ambazo hizo riport ndizo walizoziwasilisha selikalini, Kifupi ni kwamba waliwaonyesha watu wachache sana hizo ripoti ambapo ni viongozi wa kanisa pekee walioona riport hizo na hakuruhusiwa mtu yoyote kuingia kwenye kile chumba. lengo la kuwaonyesha ripoti hizo ilikuwa ili kuwaongezea imani kuwa bila mungu wao wasingeweza kuwa hai. mtoa taarifa ni mzee wa kanisa ambaye anauelewa kidogo kwenye mambo ya sayansi.
Riport inaonyesha kuwa kilichokuwa kinawasumbua ni Radioactive element inayojulikana kama polonium 210, na wao iliingia kupitia kwenye ngozi ndio maana ilienda kuattack cell za ngozi na kuingia kwenye bone-marrow ya mifupa. Laiti kama wangekuwa wamewekewa kwenye chakula wakaila, results would have been much detrimental, maana ingesababisha organs failure.
Vipimo vyote walivyofanyiwa havikuonyesha kitu, sample zao zilichukuliwa na kupelekwa kwenye maabara ya nuclea ya india ndiko jibu lilikopatikana. unaambiwa kwa conventional toxicological test zilizopo katika mahospitali ya kawaida huwezi kugundua kitu chochote. na unaambiwa hata baada ya kugundua kuwa polonium 210 ndiyo inayowatesa, kama wangekuwa walishwa, ingekuwa kazi sana kui-neutralize kwa sababu neutralizing agents nyingi za radioactive elements ni toxic (sumu) katika mwili wa mwanadamu. Walichofanyiwa kina mwakyembe ni bone-marrow implant
Unaambiwa 1microgram ya polonium 210 inatosha kuwaua watu wazima 5, na inaweza kutengeneza umeme wa 140watts. 1microgram ya polonium 210 ni sawasawa na gramu moja gawanya vipande milioni moja (kwa wasiojua vipimo vya metriki)
Ndio maana yule kamanda alielitangazia taifa kwenye vyombo vya habari kuwa mwakyembe hajapewa sumu DCI KANUMBA (weka manumba) katulia kimya na alijifanya kwenda kumuhoji Mhe Sitta. Sitta alipoenda kumuona Mwakyembe India alikuwa anajua kila kitu kuwa kapewa sumu ndio maana alisema hadharani.
USHAURI KWA WANASIASA HASA HASA WALIOJIPAMBANUA KUWA NI WAPAMBANAJI WA UFISADI, Ukiona umenawa maji sehemu na akaanza kuwashwa nunua JIKI nawia sehemu zote unazohisi umejishika kupunguza makali maana unaweza usifike india. Hii polonium 210 ndio iliyomuua yule ex-KGB spy alipokuwa uhamishoni UK, yeye alikunywa kwenye kahawa.