Hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.Hao ndo askari wanaotakiwa sio wa kibongo hapo huyo jamaa angekuwa keshavunjwa vunjwa. Huyo atatumia nguvu endapo itashindikana kabisa kuwatuliza
Hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.

idf huyo nahisi vs mparestina.
hapo huyo jamaa siamini hata kama jiwe lake lilirushwa maana huwa kunamasnipers kwa ajili ya kuwacover askari wenzao.
sawa lakini kukimbia mh
kutumia akili positively kunahitaji training,kuitumia tu hakuhitaji skill yoyote, hapo mmoja ana jiwe aliloliokota tu chini,mwingine ana bunduki na mabomu yaliyotengenezwa kitaalamu,na wataalamu,ili yatumike kitaalamu, mbwa akiamua kukungata wala hakuulizi kilichokupeleka kwao,haangalii umevaa buti au uko peku,ana silaha moja tu,na lazima aitumie hiyo tu, sababu haihitaji chochote kingine zaidi ya utashi wake mwenyewe,na ndivyo polisi wa tz wanavyifanya kazi, kuinua trigger na ku shoot hakuitaji akili yoyote ya zaidi,kurusha mabomu tu hakuitaji cheti,kupiga bibi kizee marungu hakuhitaji mazoezi,ndiyo maana polisi wetu wanaweza zaidi kutumia nguvu mingi panapohitaji akili!! Utatumiaje kitu ambacho huna?
mkuu idf wako strong acha longolongo, kama hujui quit.