Kumbe penny anatembea na kigogo wa ccm?

Diamond Wanamsifia kwamba ana mguu wa mtoto mbona ma demu zake wote wanagongwa nje? Kama hela anayo na gegedo kubwa(kama tetesi zinavyosema) analo iweje atafuniwe? Usikute diomond hawezi shughuli hasimamii kucha vizuri ndio maana anatafuniwa na vigogo wa ikula na CCM,Demu anayekupenda hawezi kukusaliti kwa vipande vya shekeli.
 
hivi kuna lile li jamaa sijui linaitwa li heaven on desert ni kiherere sana na habari za dear mond lipo wapi ebu muiteni aje
 
sa mtoto mzuri yule
lazima kaka agongewe
mbona nae kaka anaamsha popo kwavidosho sasa dada yeye asubili nn kampa kigogo
 
Tuna mengi jmn ivi kwl tuache shuhuri zetu tufatilie mmb ya diamond na wema? Bac tutakua hamnazo
 
Back
Top Bottom