baki na mawazo hayo hayo wenzenu wanaendelea. Wanajituma wabunifu ndiyo maana nyimbo zao zinapendwa.
We huoni wanatumia nguvu na pesa nyingi kuhakikisha mziki wao unakuwa bora na video za maana. Unataka video ya rich mavoko ya mil 2 au 3 incompete na mtu anayetengeneza video ya mil 40.
Hakuna kitu kama hicho, hebu nifafanulie freemasons wanakufanyaje wewe upende mziki wa psquare?