Faru tanzania nzima wanajulikana wako wangap mpaka movements zao kwa siku..serengeti hata hawaonekani kwanza manake wamefungiwa eneo maalumu kabisa chini ya uangalizi wa mradi ule wa Frankfurt Zoological Society, Mkomazi pia, mahali tu eameachiwa ni pale Ngorongoro Crater na wamewekewa mpaka Trasm kwenye pembe kwa lolote kule rangers wanapata alert...sasa vibali vinatolewaje hapo?? Jaman tunajua ametoka ccm mapovu ni mengi ila mpeni yale ya kwel basi......
Hivi hujui kuwa ili mnyama atibiwe lazima apigwe sindano ya usingizi ?.Mnyama kama simba au faru, lazima apigwe sindano ya usingizi ambayo hurushwa kwa njia ya buduki. Hivyo usishangae, angalia Chanel ya wildlife, au discovery channel.