mark_philipo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 202 Reaction score 33 Mar 26, 2013 #1 huwa najiuliza sana,siku tumeamka asubuhi then baada ya kufungua mlango tu tunakuta hakuna nje.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Mar 26, 2013 #2 muulize mwalimu wako.
Nyetk JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 1,648 Reaction score 1,701 Mar 26, 2013 #3 Kama umri wako ni miaka kumi na zaidi waambie wazazi wako wakuwahishe mirembe.
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Mar 26, 2013 #4 mark_philipo said: huwa najiuliza sana,siku tumeamka asubuhi then baada ya kufungua mlango wa nje tunakuta hakuna nje. Click to expand... Una maana gani ndugu?Yaani nje yaweza kupotea lakini wewe ukabaki na ndani yako?
mark_philipo said: huwa najiuliza sana,siku tumeamka asubuhi then baada ya kufungua mlango wa nje tunakuta hakuna nje. Click to expand... Una maana gani ndugu?Yaani nje yaweza kupotea lakini wewe ukabaki na ndani yako?
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Mar 26, 2013 #5 Sasa utafunguaje mlango wa nje wakati nje haipo!
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Mar 26, 2013 #6 we Mark philipo hangover ya juzi bado haijaisha au?mbona naona mchelemchele? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Mar 26, 2013 #7 Hahahahahahahahaha Da jf raha tupu daaaaaa!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Mar 26, 2013 #8 Mamndenyi said: muulize mwalimu wako. Click to expand... ambae .ni hamimu mulugo...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,633 Mar 27, 2013 #9 Baada ya kujiuliza ukapata jibu gani??
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Mar 27, 2013 #10 Anza na ndani kwanza, papotee! Utaufungua huo mlango wewe ukiwa wapi? Jibu la hapo litakupa roadmap ya ulichouliza.
Anza na ndani kwanza, papotee! Utaufungua huo mlango wewe ukiwa wapi? Jibu la hapo litakupa roadmap ya ulichouliza.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Mar 27, 2013 #11 aliyefoji vyeti hadi vya kipaimara loh mtu mzima hovyoo. kabanga said: ambae .ni hamimu mulugo... Click to expand...
aliyefoji vyeti hadi vya kipaimara loh mtu mzima hovyoo. kabanga said: ambae .ni hamimu mulugo... Click to expand...