Kumbe ni wewe

Kumbe ni wewe

Ujugu

Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
37
Reaction score
7
Tupo ofisini asubuhi,mhacbu yuko pembeni bize,nkachungulia kumbe yuko Jf cjui anasoma post au anacomment,ngoja nindelee kuchungulia,ila hajui na mimi nipo huko.
 
hahaa. . . nimekubamba sijakubamba nimekubamba! umenikumbusha huu wimbo.
 
Haa,dogo kumbe tuko pamoja hapa!!? tujuane ki Jf jf
 
inaonyesha jinsi gani maofisi yanapoteza ufanisi wa wafanya kazi coz kutwa wako JF :redface:
 
Tupo ofisini asubuhi,mhacbu yuko pembeni bize,nkachungulia kumbe yuko Jf cjui anasoma post au anacomment,ngoja nindelee kuchungulia,ila hajui na mimi nipo huko.

dah ofic gan hyo..
 
Tupo ofisini asubuhi,mhacbu yuko pembeni bize,nkachungulia kumbe yuko Jf cjui anasoma post au anacomment,ngoja nindelee kuchungulia,ila hajui na mimi nipo huko.

Nmetoka kupata breakfast ananiambia et kuna kaz anamalizia huku naona kabisa yuko Jf,ila anajua cjui hata kama kuna Jf.
 
Jf ina memba wengi sana. Hata mkulu ni memba.
 
Back
Top Bottom