Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Celina Kombani, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Steven Wassira, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Adama Malima na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada. (Picha: IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
Je hizi ni picha za ripota wa upande upi? Hata za mikokoteni ya farasi sawia
Huu ndio uhuru wa habari! Where is national privacy, i mean security!t
Thinking loudlyyy!!!!
Mtoa mada kajichanganya angle nyingi, kwenye post yake inaeleza hapo ni AIRPORT na ndio UKWELI sasa pazuri watu hawaondoki hapo AIRPORT ,?! Au akusoma post yake mwenye we kabla ya ku post
Je hizi ni picha za ripota wa upande upi? Hata za mikokoteni ya farasi sawia
Huu ndio uhuru wa habari! Where is national privacy, i mean security!t
Thinking loudlyyy!!!!
Haya madudu ndo yanaendelea kututia umaskini....mwalimu wangu mmoja alikuwa akisema ni kujimwambafy...wakati hatuna hata pesa ya kulipa mishahara ya wafanyakazi