Kumbe ni pazuri hivi? Aisee! Ndiyo maana wengine hawataka kuondoka

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
09/10/2012

501358544.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Celina Kombani, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Steven Wassira, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Adama Malima na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada. (Picha: IKULU)


600740233.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 9, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.





Source:
wavuti.com
 
Je hizi ni picha za ripota wa upande upi? Hata za mikokoteni ya farasi sawia
Huu ndio uhuru wa habari! Where is national privacy, i mean security!t
Thinking loudlyyy!!!!
 
Celina Kombani si waziri wa Katiba na Sheria waziri katika wizara hyo ni Mathias Chikawe naibu wake ni Angela kailuki, hapo ume2danganya!
 
Mbona wasira anaonekana ka vile anasinzia? Huyu jamaa ana ugonjwa wa malale nini maana mkimweka kwenye sofa tu analala
 
Celina Kombani si waziri wa Katiba na Sheria waziri katika wizara hyo ni Mathias Chikawe naibu wake ni Angela kailuki, hapo ume2danganya!

Mtoa mada kajichanganya angle nyingi, kwenye post yake inaeleza hapo ni AIRPORT na ndio UKWELI sasa pazuri watu hawaondoki hapo AIRPORT ,?! Au akusoma post yake mwenye we kabla ya ku post
 
Sura ya wassira haionekani, lakini mtizamo wangu kwa nyuma naona keshapitiwa na kale kaugonjwa ka dozi
 
hapo dhaifu anajisikia burudaniii,nimeshangaa amekosekana kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wa uganda, au kampala hamna farasi?
 
Je hizi ni picha za ripota wa upande upi? Hata za mikokoteni ya farasi sawia
Huu ndio uhuru wa habari! Where is national privacy, i mean security!t
Thinking loudlyyy!!!!

NDUGU MWANANCHI HAPO NI AIRPORT kwa MAPOKEZI ya VIONGOZI - KODI YAKO YAFANYA KAZI
 
What is the difference between the two, ZIARA YA MAREKANI na ZIARA RASMI YA KISERIKALI NCHINI CANADA?
 
Haya madudu ndo yanaendelea kututia umaskini....mwalimu wangu mmoja alikuwa akisema ni kujimwambafy...wakati hatuna hata pesa ya kulipa mishahara ya wafanyakazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom