Kumbe ni mtamu enh

Vegetarian

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
657
Reaction score
515

Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
 
sio kwamba hatupendi ugali,raha ya ugali upate mboga nzuri tena zaidi ya mboga mbili.
Mwenzangu na mie kila siku unakula ugali na tembele au kisamvu unategemea utakuwa na mapenzi na ugali kweli?
Wewe unadhani huyo founder wa FB angeekewa ugali na dagaa au tembele unadhani angekula kwa kicheko???
 
Jamaa yuko simple wenzangu na mie misuite
Magenius wengi huwa wako rough kimavazi saana. Huyu jamaa huwa ana trait za ugenious that's why sweta la hood hilo hill alilovaa Nigeria ndo kalivaa tena Kenya ambako kote hali zake za hewa ni joto..

He is overgenious!
 
dah! hiyo mboga imentamanisha alaf mbona huo ugali mdogo tonge 2 tu kwishneh...! me nakulaga mpk nazimia ndo nakuwa nimeshiba
 
Matembele na kisamvu ndo mboga sasa za ugali mie hata ukinilisha kila siku nakula bila shida
 

Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
Hakulalamika kwamba hauna chumvi ya kutosha na kuanza: "Pass me the salt vial please"?
 
ungesemaje ingekuwa mbongo ndiyo yuko simple na hao jamaa kwenye suti ni wazungu?
....just thinking.....
Wangesema mshamba, ni kama ilivyo kwa mzungu kutembea kwa miguu waswahili watasema anafanya mazoezi,lakini akifanya mswahili mwenzao watasema bahili au hana nauli.
 
Angefika Tz kuna gazeti mmoja lingeandika "Fremason aingia tz ala ugali samaki"...
 

Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.

Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…