inaonekana wewe ni mpakaji mzuriConspiracy theories tu hizo!
Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!!inaonekana wewe ni mpakaji mzuri
Haya bana sema wengine wanatisha watoto utadhani wametoka kuchinja kuku kwa mdomoLipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!!
Ukiona hivyo ujue unakosa virutubisho fulani mwilini afu na nanilii inakuwa siyo tamu km mdomo huwa unapauka..Lipstiki ndo mpango mzima babu we! Kisa cha kutembea na midomo ilopauka!!
Huu sasa uchochezi