Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,195
- 1,417
Mbona Watendaji wanakimbia na fomu,Mbona mikutano bado ìmezuiliwa ila ccm inafanya ?Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua.
Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi! Pia Mhe. Lowasa alitangaza rasmi kuwa wafuasi wake wote wamuunge mkono Rais Magufuli.
Leo hayo yamethibitika kwani uchaguzi Serikali za Mitaa CCM inakimbiza vibaya sana. Pia Watanzania wengi wanasema kazi za Rais Magufuli zinajiuza hawaoni sababu ya kutoichagua CCM. Yale wapinzani waliyoyapigania yote Magufuli kayatekeleza.
Hapa kazi tu! Wakati CCM ikijiandaa wengine walikuwa busy tweeter!! Sasa wapigiwe kura huko tweeter.
Jioni njema.
Queen Esther
Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua.

Hakuna mizengwe; Chadema wanafanya usanii baada ya kuona hawatashinda. Taarifa ya baadhi ya maeneo inashangaza kwa kweli! Haiingii akilini watu wanajaza fomu hovyo kabisa ili watafute huruma. Wengine hata mihuri hawakugonga. Sasa hapo si ni makusudi kabisa? Chadema igatue madaraka kwa kweli.If that is the case mizengwe ya nn tena?
Mikutano haijazuiliwa. Tatizo kuna watu wanakimbia majimbo yao wanataka kufanya mikutano majimbo ya wenzao.Mbona Watendaji wanakimbia na fomu,Mbona mikutano bado ìmezuiliwa ila ccm inafanya ?
Nipo bush! Sisi Kaskazini maendeleo kila kona. Au bushi ipi unayosema?Nyie ndo mko mijini mbapiga majungu ika kiuhalisia Nduguz zako kule Vijijini wana maisha magumu sana tena mno. Ila kwa sabanu uko mjini basi usha jitoa ufahamu.
Piga picha maisha wanayo ishi ndugu zako kule bushi.
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?Huyo changudoa sio wa kumfuatilia kabisa.
Hakuna mizengwe; Chadema wanafanya usanii baada ya kuona hawatashinda. Taarifa ya baadhi ya maeneo inashangaza kwa kweli! Haiingii akilini watu wanajaza fomu hovyo kabisa ili watafute huruma. Wengine hata mihuri hawakugonga. Sasa hapo si ni makusudi kabisa? Chadema igatue madaraka kwa kweli.
Queen Esther
Hivi mummy,ni kweli kabisa inawezekana mtu anaacha shughuli zake anaenda kuchukua fomu ili akaiharibu ? Basi tuna wapinzani watu wenye akili ndogo sana nchi hiiHakuna mizengwe; Chadema wanafanya usanii baada ya kuona hawatashinda. Taarifa ya baadhi ya maeneo inashangaza kwa kweli! Haiingii akilini watu wanajaza fomu hovyo kabisa ili watafute huruma. Wengine hata mihuri hawakugonga. Sasa hapo si ni makusudi kabisa? Chadema igatue madaraka kwa kweli.
Queen Esther
Yaani mwanangu acha tu!! Yako makosa mengi sana. Mfano wengine tarehe ya kuzaliwa wameweka tarehe ya kujaza fomu. Makosa ni mengi sana waache wakate rufaa mambo yawekwe wazi aibu ya tsunami itawapata.Hivi mummy,ni kweli kabisa inawezekana mtu anaacha shughuli zake anaenda kuchukua fomu ili akaiharibu ? Basi tuna wapinzani watu wenye akili ndogo sana nchi hii
Tena wengine wamepewa pesa ili waharibu fomu watengeneze kesi kuwa wameonewa!! Hali ni mbaya sana. Lengo wakalie kwa mabeberu!Hivi mummy,ni kweli kabisa inawezekana mtu anaacha shughuli zake anaenda kuchukua fomu ili akaiharibu ? Basi tuna wapinzani watu wenye akili ndogo sana nchi hii
Kwani kufanya mikutano Jimbo jingine ni kuvunja katiba! Au nyie katiba mmeiweka pembeni Kwanza mnapuyanga ya kwenuMikutano haijazuiliwa. Tatizo kuna watu wanakimbia majimbo yao wanataka kufanya mikutano majimbo ya wenzao.
Queen Esther