luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,984
... aliyekudanganya nguruwe ni white meat nani? That's purely red meat acha kulisha watu matango pori kwa usichokijua.Wadau leo nilibahatika kumsikia Mzee Yusuf ktk mahojiano yake na Salama. Ktk kipindi kile nili note kauli mbili ambazo zimenifanya nibadilishe mtazamo kuhusu uislamu na baadhi ya vitu.
1. Kumbe nyama ya Nguruwe sio haramu, ktk uislamu muumin anaruhusiwa Kula kitimoto endapo hamna kitu Cha Kula .....hapa nimepata jawabu coz Kuna jamaa mmoja alibadili din toka ukristo kwenda uislamu ila jamaa anaendelea Kula kitimoto. Nimegundua huenda jamaa ameshauriwa asitumie nyama nyekundu hivyo anakula nyama nyeupe Kama mbadalaa
Hii sijui imekaa sawa kwa huyu ndugu yetu.
2 ktk mahojiano Yale Mzee alitoa kauli ambayo mpaka sasa Bado naona ni Tata Sanaa
Alisema, ww Kama muislamu ikatokea wakati unakula chakula then ukapaliwa na tonge kooni Kisha hamna maji ya kunywa lkn karibu ipo chupa ya wiski ...Basi unapaswa unywe wiski kwasababu uislamu hauruhusu mtu kujiua
Aiseee izi kauli mbili ni kitu kipya sanaaa kwa upande wangu kimtazamo
... Wanakuambia dini ni njia ya kumfikia Mungu.Achaneni na dini. Angaikeni na Mungu. Dini ni mzigo.
Yule jamaa ndio anavyo fikir banaIna maana kitimoto ni nyama nyeupe?
Nashindwa kuielewa akili yakoWadau leo nilibahatika kumsikia Mzee Yusuf ktk mahojiano yake na Salama. Ktk kipindi kile nili note kauli mbili ambazo zimenifanya nibadilishe mtazamo kuhusu uislamu na baadhi ya vitu.
1. Kumbe nyama ya Nguruwe sio haramu, ktk uislamu muumin anaruhusiwa Kula kitimoto endapo hamna kitu Cha Kula .....hapa nimepata jawabu coz Kuna jamaa mmoja alibadili din toka ukristo kwenda uislamu ila jamaa anaendelea Kula kitimoto. Nimegundua huenda jamaa ameshauriwa asitumie nyama nyekundu hivyo anakula nyama nyeupe Kama mbadalaa
Hii sijui imekaa sawa kwa huyu ndugu yetu.
2 ktk mahojiano Yale Mzee alitoa kauli ambayo mpaka sasa Bado naona ni Tata Sanaa
Alisema, ww Kama muislamu ikatokea wakati unakula chakula then ukapaliwa na tonge kooni Kisha hamna maji ya kunywa lkn karibu ipo chupa ya wiski ...Basi unapaswa unywe wiski kwasababu uislamu hauruhusu mtu kujiua
Aiseee izi kauli mbili ni kitu kipya sanaaa kwa upande wangu kimtazamo
Mafuta yake hayana chlorestol.Ina maana kitimoto ni nyama nyeupe?
Kuna vitu huwezi kuvielewa kabisaaa pamoja na hili la akili yangu na mawazo yanguNashindwa kuielewa akili yako
Mh sawa maaaaalimEti Mzee Yusuph, huyu huyu mwanamziki, Huo mziki wa Dunia wenyewe anao upiga imani yake haukubliani nao, na siyo imani yake tu hata ukristo.
Alafu elewa kuwa harumu maana yake ni makatazo, mfano: kufanya mapenzi na Mama yako, Baba yako, Dada wa tumbo moja, Kaka wa tumbo moja, mwanao ulie mzaa, wote hao ni haramu kufanyana mapenzi.
Lakini watu hawafanyi. Hivyo elewa kuwa mungu alipo muumba Mwanadamu akamjaza akili ili aweze kujitofautisha na hayawani, akampa mipaka, hivyo hiyo mipaka, ukiivuka, ndiyo huitwa haramu.
Ila ukishiriki ngono na Dada yako, atapata mimba na atazaliwa mtoto ka watoto wengine, ila huruhusiwi.
Huna haki ya kumuukumu, Maana hakusema vibaya Bali mm ndio niliamua kuchukua au kuelewa izo kauli mbili ..Nani Yule TAPELI ?
Yule mjanja mjanja..
kaona sadaka hazilipi karudi kwa shetwani
We unafikiri vipYule jamaa ndio anavyo fikir bana
Mzee shirima embu Kula mtori na mbege buaaanaaaaa December si unaiona shekhWe unafikiri vip
Sahihi mkuu nguruwe anaweza kuliwa ikiwa hapo pahala hakuna chakula kingine na wewe njaa imekukamata kweli kweli,unaagiza kitimoto yako unakula kutoa njaa kiasi cha kuweka kuishi unaachana nayo,sio unapiga mpaka unavimbiwaa wakati unakaribia mazingira ya kupata chakula kingine.Wadau leo nilibahatika kumsikia Mzee Yusuf ktk mahojiano yake na Salama. Ktk kipindi kile nili note kauli mbili ambazo zimenifanya nibadilishe mtazamo kuhusu uislamu na baadhi ya vitu.