New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Manzese au Tandale kwa mtogore mkuu?Mimi nashauri pale manzese kwa mtogore nyumba zivunjwe ipandwe miti ya mbao na sisi tuwe na kamsitu ketu kama wenzetu New York City au mnasemaje ndugu zangu
Ni sawa na kusema kule karege na chamazi nayo Ni jiji la DARMkubwa hiyo ni NY upstate maana ukisema NY watu wanaweza kudhani mpaka Downtown
Uzi bila picha hauna utamu fanya mchakato wa picha tafadhali
Majambazi na vibaka itakuwa chimbo lao,labda kuweka kambi ya jeshiMwaka 2013 natua Frankfurt Germany nakutana na bonge ya msitu wa mbao kama ile ya Mafinga.
Mzungu ana akili sana
Muda umefika tufute mkoa wa Pwani ibaki Dar ndo ipakane na Lindi huko kusini na Morogoro kuondoa kasumba ya kubanana Chanika wakati kuna nafasi Masaki ya Kisarawe au Kubanana Mbezi wakati kuna nafasi Kibaha Mpaka Chalinze hakuna dhambi Dar na Pwani kuungana tukawa na jiji moja kama NY.New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Uzi bila picha hauna utamu fanya mchakato wa picha tafadhali
Ni tandale mkuu hupo sahihiManzese au Tandale kwa mtogore mkuu?