Kumbe ndo maana viwango vya wachezaji vinashuka haraka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kumbe ndo maana viwango vya wachezaji vinashuka haraka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

View attachment 85107
Kumbeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!

ngege john na huyu nae hakuwa na maana hiyo?
View attachment 85118

gay-soccer-player-tm_display_image.jpg

Mama Yaangu!! Hawa watoto sio Rizki. Kumbe ndio maana Fennando Torres Hafanyi Vizuri, kumbe wanampiga mpunyenye. My God. What is this. Kwanii, huko majuu hakuna wanawake?. Hatakama wanapenda sana Usajili wa Dirisha dogo, lakini kwa wanaume ni fedheha!
 
hahahahahahahahahahahaha.....kwa raha zao...wapi BOFLOOOOOOOOOOO
 
oi vipi na yule aliyesababisha ZEUTAMU website ifutwe maana yeye alishindiliwa kabisa na kiwango chake cha uongozi kipo chini siku nyingi
 
Ndio maana mkasi haukati mpaka ushikwe nyuma tena kwa kutiwa vidole katikati yakheeee.
 
Wachezaji wa bbongo wanashuka viwango kwa mambo mengi ...
  1. Hawajitumi.
  2. Ujinga wao mkubwa kuliko yote wanakubali kununuliwa na kuuza mechi... hali kadhalika kupanga matokeo!!!
  3. Wanapenda kucheza na majukwaa
  4. Wanapenda kusifiwa pasipo sababu
  5. Wanaamini kwamba BANGI inasaidia kupata stimu katika mchi na kuondoa woga
 
wazungu huwa wanatabia moja hasa kwenye michezo akicheza vizuri wanamshika kwenye ------ kama kumpongeza hili sio geni kwao, wanajeshi wa kimarekani waliopo afghanistani wanaolinda amani wameshapigwa risasi wanajeshi 243 kwa tabia hii, wanapokuwa kwenye mapumziko huwa wanacheza mpira wa miguu na wanajeshi wenyeji wa nchini afghanistan sasa hawa waarabu wakicheza vizuri wanashikwa ------, waarabu hawa hawajui utamaduni huo huwa wanajua ukishika hivyo unamuomba kumuingilia kinyume na maumbile anaenda kuchukua bunduki anakuua imewasumbua sana wanajeshi wa kimarekani sasa hivi wameanzisha semina kuwaelimisha hawa waarabu kuwa ni moja ya salamu kama nyingine haya sio maneno yangu ni taarifa ya bbc swahili kwenye mikasa ya dunia nenda kwenye websiite yao ujionee mwenyewe, ilinishangaza sana habari hii
 
Back
Top Bottom