Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Kumbe ndio wanajeshi wenyewe!?

Mkuu hakuna MADANGURO huko Israel? Tukafanye angalau utalii aisee.
 
Wanaangushia sanaa.. Chakula za wakubwaaa mkuu!! Kuna Matron flani aliajiriwa kambi flani nilikuwa kama Ngurutu aisee alikuwa mweupe mzuri balaaaa... Sasa sijui alifanya kosa gani akawekwa Mahabusu aliliaa balaaaa... Maana mahabusu ilikuwa Getini tunapoingia kambini so tulimuonaa...nilishangaa snaaa

Huyo walikuwa wanampa mteru tu..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee hawa wajumbe wanang'ata na kupuliz huku wanacheka...
 
.
IMG_20220420_175336.jpg
 
Back
Top Bottom