Kumbe ndio mpango wenu jusa na maalim seif

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan
Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA
na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika
kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za
kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu
alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya
karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia
Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza
ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa
msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha
(kifedha na ushauri) mchakato mzima wa
kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na
kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea
kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo
wa Arabuni. Hiyo ni Summary ya kitu kizima
ambacho kipo hapa na na documents za kutosha
na akaunti za benki zinazoingizia pesa kwenye
benki moja ya nchi jirani kutokea kwa sultan....
 
Pumba express
 
Naomba chanzo rasmi cha habari hii kama unasema kweli?plz
 
Kama hayo ndiyo matakwa ya Wazanzibari walio wengi wewe inakukera nini? Wameungana na Tanganyika kwa miaka 50 wameambulia kitu gani? Kama wanamtaka sultani wao basi na wamrudishe ndiyo demokrasia hiyo wengi wape.
 
...kama wazanzibar hawautaki ukoloni wa ccm anayewanyonya kila kukicha na wameamua kumkaribisha sultani atakayewajali kunatatizo gani..?kwangu mimi sioni tofauti kati ya ccm na sultani,so naheshimu maamuzi ya watu wa zanzibar...
 
Kama hayo ndiyo matakwa ya Wazanzibari walio wengi wewe inakukera nini? Wameungana na Tanganyika kwa miaka 50 wameambulia kitu gani? Kama wanamtaka sultani wao basi na wamrudishe ndiyo demokrasia hiyo wengi wape.

Yaani huyo Sultani aje amege nchi yetu tumwangalie tu? Alete pua akione cha moto!
 
Mtoa mada wewe kiboko!
Kwahiyo baada ya hapo hadithi yako inatufundisha nini?

Mnadhani sisi watanzania wote ni fuata upepo tu?
Leo Pasaka, acha habari za kupewa
 
Ala kumbe nyie mnataka aje mzungu shoga, basi roho zifurahi. Mwarabu aka gaidi. Mwanao akiwa shoga au gaidi nini utachagua. Mtetezi wetu ,kiongozi mwaminifu,jemedari, mlete sultan wetu tubaki na ugaidi wetu,na wabaki na ushoga wao
 
duh!ama kweli intelijensia ya nchi hii ni kwa wapinzani tu.kama makamu wa rais anaweza kusafiri nje ya nchi na ofisi isijue nyendo zake kweli tumekwisha.ok ndugu tengeneza tamthilia nyingine labda utaeleweka.
 
Interehamwe wameshikwa pabaya mwaka huu! Sultani hewa huyo aje Zenji karne hii ya 21? baba nenda ktk bunge lenu la ki Interehamwe halafu urudi tena na karata nyingine hii haina mashiko!
 
Yaani huyo Sultani aje amege nchi yetu tumwangalie tu? Alete pua akione cha moto!

Nchi yenu ipi?
Maana hili dubwana linaloita Tanzania huku lina marais wawili hata silielewagi mie! Unaongelea nchi gani hasa?
 
Kama hayo ndiyo matakwa ya Wazanzibari walio wengi wewe inakukera nini? Wameungana na Tanganyika kwa miaka 50 wameambulia kitu gani? Kama wanamtaka sultani wao basi na wamrudishe ndiyo demokrasia hiyo wengi wape.

Mnasemaga hivyo hivyo "Wazanzibari walio wengi" kumbe ni matakwa tu ya UAMSHO!
 
Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan
Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA
na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia kwamba wanatumika
kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto zao za
kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye kwa sasa anaishi Uingereza tangu
alipotimka Zanzibar 12 Januari, 1964. Miaka ya
karibuni, wakati mchakato wa Katiba unanukia
Maalim alifanya safari kadhaa nchini Uingereza
ambapo alikutana mara kadhaa na Sultan (kwa
msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha
(kifedha na ushauri) mchakato mzima wa
kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha Zanzibar na
kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
na kupitia hapo Sultan atatua ndani ili kuendelea
kutawala na kubadirisha mifumo yote ya kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo
wa Arabuni. Hiyo ni Summary ya kitu kizima
ambacho kipo hapa na na documents za kutosha
na akaunti za benki zinazoingizia pesa kwenye
benki moja ya nchi jirani kutokea kwa sultan....

Sawa sasa wewe mtanganyika ya nchi jirani yanakuwashia nini?
 
Hee hii propaganda ilozeeka na kukosa afya bado ipo?
 
Nchi yenu ipi?
Maana hili dubwana linaloita Tanzania huku lina marais wawili hata silielewagi mie! Unaongelea nchi gani hasa?

Kama Tanzania ina marais wengi wewe kinachokuuma ni nini?
 
Back
Top Bottom