ha ha ha,pinda bana.....
Masikini Pindaaaaa! mzee wa kulia.
ha ha ha,pinda bana.....
.kwani wamepigiwa kura na wananchi?huhitaji kumuonea mamvi huruma ila jionee huruma wewe na taifa lako kwa kupewa viongozi wabovu.
Dah Pinda anaweza akawa amechukulia poa lkn watu wa katavi wanaweza kuwa wameghafirika wakakiadhibu chama kwa kura ya October,Binafsi sikutarajia Pinda akose tano bora though nilikuwa nikipredict tatu bora asingegusa,anyway ndio politics hizo ww unaujua huu wenzako wanaujua ule. ..!Hadi Pinda kakatwa......!!! CCM HAWANA MAANA
Subirini taarifa rasmi kutoka CCM. Msisadiki kila neno.
Hvi mamvi atalipaje zile pesa za marafiki zake?
Dah Pinda anaweza akawa amechukulia poa lkn watu wa katavi wanaweza kuwa wameghafirika wakakiadhibu chama kwa kura ya October,Binafsi sikutarajia Pinda akose tano bora though nilikuwa nikipredict tatu bora asingegusa,anyway ndio politics hizo ww unaujua huu wenzako wanaujua ule. ..!
Jamani nipo kijijini, nijulisheni Taisoni - wasira yuko wapi na viburi vyake, ameingia tano bora?
Sitashangaa utata wa uraia wake ukiibuliwa tena. Amewasumbua sana wakubwa.ushirikiano mlionyesha wakati wa kula pesa..muendeleze hadi ICU..msimuachie Bashe peke yake