Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 533
Habari za Wakati huu! Kuna story nimeicopy sehemu imenifanya nimshangae huyu Mwamba👇👇
Habari zenu wapenzi,
Mnisaidie nijue nimekosea wapi, Iko hivi,
Jana tulikuwa tunaangalia mpira na Mr hapa nyumbani, wote ni washaabiki wa Yanga, sasa Kuna wakati wakamzoom Mayele kwenye screen mimi nikatabasam kumbe Mr kaniona akakaa kimya, Mara baada ya muda Tena wakamzoom nikatabasam Tena, baada ya mpira kuisha Mr akaniita mke wangu mimi nikaitika akaniambia niangalie, sasa mimi huwa nikimwangalia Mr sijui kwanini huwa kama nafumba macho afu kama nakunja uso Yani hata kama tunacheka, sielewi huwa inakuwaje tu Yani hata kabla hatujaoana ilikuwa hivo,
Basi akaniambia hivi mimi na Mayele unampenda nani, ikabidi nicheke nikamjibu nakupenda wewe mme wangu nikaongezea nawezaje mpenda mtu mwingine zaidi Yako mme wangu, akaniambia tangu tufahamiane, tumekaa kwenye mahusiano, tumeoana sijawahi ona ukiniangalia unatabasam kama unavyotabasam ukimuona Mayele, akaniambia napenda furaha Yako sasa inabidi nifanye mpango ukutane na Mayele Ili uchague Kati yangu na Mayele unampenda nani mbele yetu, sbb nilijua keshapaki nilinyamaza, baadae natenga chakula akasema kashiba, tukalala njaa wote, usiku tumelala Yani kama hatufahamiani vile akaamka alfajir akanifunika shuka akatoka nje kupiga mazoez, asubuh hajanywa chai, mchana amekataa kula, hajatoka kwenda popote, sijazoea hii hali ya kununiwa, ndoa Ina miaka 3 sasa, kosa kutabasam😩 nikijaribu kuhitaji kuongea nae ananiambia anahitaji kujua Mayele ananipa nini tu Ili nà yy anitafutie niwe natabasam nikimuangalia Yani haitaji kabisa tuliweke sawa.
Hadi sasa yupo seblen anaangalia mpira naogopa hata kwenda kuangalia mpira, nampenda Sana,
Jaman mnisaidie wapi nimekosea, nifanyeje tuwe sawa na mme wangu