Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!
We ni sawa na malaya!
Jirekebishe mkuu.
Kwahiyo mwigulu huyohuyo akija na huko Azam unahama tena?
Yanga haina shabiki 'kubwa jinga' kama wewe.
nimechukizwa sana kusikia jina la mwigulu kwenye timu ya yanga leo naapa sitaki tena yanga hili jitu nalichukia kama ibilisi...
Unalako jambo tu!... Mwigulu ameikuta YANGA na tena ataiacha!... Ni sawa na JF ambayo mwigulu ni memba lakini si mmiliki. Kwa nini usiiache na JF?!!!... Mwanaume hakimbii matatizo.. Mwigulu ni JANGA, siyo YANGA!
Mkuu punguza hasira mambo ya mpira na siasa ni tofauti!
hahahaha shkamoo comred Simba wa Yuda Mwigulu Nchembasiwezi kua na Mwigulu timu moja hata mbinguni likienda peponi ntaomba Mungu anipeleke kuzimu
Ok. Safiri salama, hata nami naichukia sana yanga kutokana na majezi yao ya kiccm, ila maswala ya uchama na ukanda nchi tunailekeza kusiko. Mimi namchukia mwikulu nchemba, nikimuona hata kwenye tv nasikia kichefu chefu, ila yanga ni timu yangu daima, mwikulu ataondoka ataniacha hapo hapo yanga. Nyoka akiingia nyumbani mwako chumbani unako lala, utamuua ama utamwachia nyumba huyo nyoka andelee kuishi kwenye nyumba yako?
WEWE BUREEE KABISAAA HUJITAMBUI Ukweli ni kuwa Mwingulu is EVIL, DEVIL AND SOCIALPATHIC VAMPERE PERRRRIOOODDDD!!!!!!!!!!!!!ulikuwa hujui? Mwigulu ni mtu mzuri sana,wasiojitambua ndio kila siku kelele kuhusu mwigulu
umenizidishia hasira siitaki tena nahamia azam...
Hamia Simba
hapo yanga wajiandae kuhamwa na kuzomewa na mashabiki,km ni kweli anajihusisha na timu moja kwa moja imekula kwao
siwezi kua na mwigulu timu moja hata mbinguni likienda peponi ntaomba Mungu anipeleke kuzimu
WEWE BUREEE KABISAAA HUJITAMBUI Ukweli ni kuwa Mwingulu is EVIL, DEVIL AND SOCIALPATHIC VAMPERE PERRRRIOOODDDD!!!!!!!!!!!!!