MgungaMiba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2011
- 999
- 816
Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!
regarding Yanga ni kama mali ya Ritz
nimechukizwa sana kusikia jina la mwigulu kwenye timu ya yanga leo naapa sitaki tena yanga hili jitu nalichukia kama ibilisi...
Naipenda sana tmu yangu ya yanga Ronaldo akiwa uwanjan tusahau maisha yake ya nje ya uwanja na kna paris hiltonregarding Yanga ni kama mali ya Ritz
we utakua na matatizo huwezi kuwa na chuki na mwenzio kiasi hiki
nimechukizwa sana kusikia jina la mwigulu kwenye timu ya yanga leo naapa sitaki tena yanga hili jitu nalichukia kama ibilisi...
Kichefuchefu jamani nataka kutapika