Kumbe Mwigulu ana mazuri yake!

Kumbe Mwigulu ana mazuri yake!

MgungaMiba

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2011
Posts
999
Reaction score
816
Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!
 
Hivi kweli hii ndio thread ya kuleta hapa jamvini tuijadili? MoDS tafadhali ondoa huu upuuzi na uchafu itajaza nafasi bure.
 
nimechukizwa sana kusikia jina la mwigulu kwenye timu ya yanga leo naapa sitaki tena yanga hili jitu nalichukia kama ibilisi...
 
...MODS MODS.... throw this rubbish to dustbin...plz.. wtf...!!!
 
Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!

ulikuwa hujui? Mwigulu ni mtu mzuri sana,wasiojitambua ndio kila siku kelele kuhusu mwigulu
 
hapo Yanga wajiandae kuhamwa na kuzomewa na mashabiki,km ni kweli anajihusisha na timu moja kwa moja imekula kwao
 
we utakua na matatizo huwezi kuwa na chuki na mwenzio kiasi hiki

mtoto wa mdogo wangu alikufa kwenye bomu soweto na Mwigulu ndo amevaa kofia ya mahali bomu lilipotengenezwa nime connect i hate him zaidi ya shetani nae pia ajipange silali kabisa.......
 
nimechukizwa sana kusikia jina la mwigulu kwenye timu ya yanga leo naapa sitaki tena yanga hili jitu nalichukia kama ibilisi...

Unalako jambo tu!... Mwigulu ameikuta YANGA na tena ataiacha!... Ni sawa na JF ambayo mwigulu ni memba lakini si mmiliki. Kwa nini usiiache na JF?!!!... Mwanaume hakimbii matatizo.. Mwigulu ni JANGA, siyo YANGA!
 
Akiwa baba yako wa kufikia utamchukia mama yako?
 
Bosi wake JK alikuepo,lazima acheze vizuri kupata sifa
 
Back
Top Bottom