OLD KOROGWE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 556
- 207
Mwanza ni ulaya ya Tanzania!
nampa ushauri wa bure: kama ana tv awe anaangalia channel ya "fine living" labda atajua maana ya nyumba kaliSasa huo ukali ndio upi?Watu wengine bana au umenunua smartphone Tecno basi kila kitu unapiga picha sasa ukaamua kuturushia huku JF au bado hawajakuadd kwenye makundi ya Whatassp nini?
Hadi sasa kuna watu wanaweka fremu (shutters) za mbao kwenye "nyumba kali"! Au hiyo ilijengwa kipindi" ALUMINIUM zinaitwa "URANIUM"!
wanaonyesha nyumba kali popote pale duniani. iwe africa, asia, america-popote pale.wanaonyesha nyumba za tannzania?
kitanzania hizo nyumba ni kali. kila mahali kuna standards zake. bongo ukipokea 7m utakua ni mtu unayechukua mshahara mkubwa wakati ni just $41,000 kwa mwaka. bongo ukinunua kluger used au harrier utaambiwa unagari kali na maharusi watakuja kukodi.wanaonyesha nyumba kali popote pale duniani. iwe africa, asia, america-popote pale.
hizo nyumba labda tuseme ni za kisasa lakini kwa ukali, hata kwa Jiji la Mwanza, siyo, Ni nyumba za kawaida sana. Au ili tuelewane ni vyema ukatueleza ni nini maana ya (=what is your definition of ) "nyumba Kali"kitanzania hizo nyumba ni kali. kila mahali kuna standards zake. bongo ukipokea 7m utakua ni mtu unayechukua mshahara mkubwa wakati ni just $41,000 kwa mwaka. bongo ukinunua kluger used au harrier utaambiwa unagari kali na maharusi watakuja kukodi.
namaanisha nyumba zinazovutia sana.hizo nyumba labda tuseme ni za kisasa lakini kwa ukali, hata kwa Jiji la Mwanza, siyo, Ni nyumba za kawaida sana. Au ili tuelewane ni vyema ukatueleza ni nini maana ya (=what is your definition of ) "nyumba Kali"