Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,721
- 167,747
Wafilipi : Mlango 1Amina mkuu.Siku nikiondoka sijui nani atajua humu jf.Lakini yote ni mema Mungu anisaidie niimalize safari nikiwa Niko ubavuni mwake.Yaani nife nikimcha Bwana maana kwangu ni faida.
Amin. Nikitangulia usisahau kuniombea dua kama ambavyo ukitangulia sitaacha kukuombeaHahahaaa. Babu huna siri. [emoji85] [emoji85] .
Nimekuja Babu na mie nawaombea wote wale ambao tumefahamu na hata wale waliokufa pasi sisi kufahamu Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa Amani.
Sawa Babu. Ila utajuaje sasa Babu ikitokea mimi nimetangulia?Amin. Nikitangulia usisahau kuniombea dua kama ambavyo ukitangulia sitaacha kukuombea
Ndo ujitahidi sasa... nisipokuona hapa wiki moja natangaza msiba. Unless uniambie kuwa unapumzika kiduchu. Ila mi nikiRIP haitapita nusu saa utajua babu kashatangulia mbele ya hakiSawa Babu. Ila utajuaje sasa Babu ikitokea mimi nimetangulia?
Hahaaa. Itabidi nijitahidi kama usemavyo Babu.Ndo ujitahidi sasa... nisipokuona hapa wiki moja natangaza msiba. Unless uniambie kuwa unapumzika kiduchu. Ila mi nikiRIP haitapita nusu saa utajua babu kashatangulia mbele ya haki
Itabidi uje PM tuyapange. Usiwe mwoga utakosa vingi...Hahaaa. Itabidi nijitahidi kama usemavyo Babu.
Itabidi unipe siri Babu na mie niifanyie kazi ili ikitokea kwangu basi na mie nusu saa watu wawe washajua.
Hahahaaa. Sawa babu nipangie siku ambayo una nafasi ntajileta mwenyewe huko.Itabidi uje PM tuyapange. Usiwe mwoga utakosa vingi...
Ewaa... na utakapokuja uje without kabisa ili tusipoteze muda.Hahahaaa. Sawa babu nipangie siku ambayo una nafasi ntajileta mwenyewe huko.
Sababu waswahili wanasema Utu uzima Dawa.
Hahahaaa. Ndio nini sasa ujue babu una masikhara sana.Ewaa... na utakapokuja uje without kabisa ili tusipoteze muda.
Mohamed mtoiWapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Mfano mimi Kididimo, niko Kididimo na wanaKididimo wananifahamu vizuri.Members wengi hapa pamoja na kutumia ID fake lakini wanafahamiana physically. Kama hapa huna anayekufahamu nje ya ID ya JF then ukifa unapotea kimyakimya...
Safi sana mwanaKididimo. Ukidedi wanakididimo watatujuza tukuombee ulazwe pema peponiMfano mimi Kididimo, niko Kididimo na wanaKididimo wananifahamu vizuri.
Yeah... RIP Muddy.Mohamed mtoi
R. I. P
Siwezi kuyasema hapa msibani. Tutayazungumza chemba ukifika salamaHahahaaa. Ndio nini sasa ujue babu una masikhara sana.
Bila kumsahau Mchukia Fisadi.Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Hakuna kitu sipendi kukichukia kama [emoji1019]Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia