Mkuu, huo wimbo Bichuka analalamika kuwa alimpeleka mchumba wake Ulaya kusoma na siku moja akapata barua na ndani kuna picha Bibie kaamua kuwa MUKE YA MUDHUNGU.
Sasa jamaa kabaki kulia tu na kubaki kulia lia kuwa Mudhungu kamchukulia kimwana.
Nafikiri kutoka hapo wengine wakaona na wao wafuate nyayo....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.