Kumbe mtoto ana ndevu

Kumbe mtoto ana ndevu

Joined
Jun 26, 2011
Posts
13
Reaction score
2
Dogo akamuuliza mama yake mjamzito, 'eti mama mbona tumbo lako kubwa sana'? Mama akajibu 'nina mtoto tumboni'. Dogo hakuelewa, siku moja mama anasonga ugali akawa amekaa vibaya. Dogo akaona ishu ya maza, mara dogo akalipuka kwa furaha huku akishangilia na akasema, 'nimegundua mtoto uliyenaye tumboni ni wa kiume maana ana ndevu kama baba'
 
Back
Top Bottom