Sijui kama nitaoaSalaam wanaJF.
Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,
Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

ilikuwa niowe mwezi wa 10 nikasogeza mbele mpaka mwezi huu wa 12.... Na kwa huu uzi ngoja nisogeze tena mpaka mwakani mwezi wa 4
,then anakuja kuvunja uaminifu kirahisi tu, mbaya zaidi hakuambii ukweli kuwa Hana mapenzi na wewe anachofanya ni kukupotezea muda na si vinginevyo, hili suala nimeliona likitokea kwa watu wengi sana, Mimi naomba tu unijuze hiyo app ya kubadili sauti ndicho cha maana hapo nilichokiona. Kuhusu huyo mchumba kuendelea naye ni sawa na kukaa na bom kwenye moto mkali.Salaam wanaJF.