Kumbe mpangilio mbovu wa mji wa Dar es salaam ni kivutio cha kitalii...

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,144
1,648
Wandugu hii picha na tangazo (la kampuni fulani ya nchi fulani ya ughaibuni) inatumika ku-promote utalii TZ. Hebu soma text kwenye hiyo picha. Inaonekana mpangilio mbovu wa mji wa Dar es salaam sasa imekuwa kivutio kikubwa cha kitalii pia .....

Aibu kwenu mliopewa dhamana ya kuongoza mji/nchi.

dar.jpg
 
Bongo kumejaa sheria nyingi ndogondogo nzuri tu amabzo zingetumika zingeondoa kama si kupunguza kwa kiasi kikubwa hitilafu zilizopo; lakini zimeachwa na zinazotekelezwa ni zile za kukimbizana na machinga na mama ntilie ama kufunga mabaa; kwa kuwa huko kuna maslahi kwa watendaji
 
Ni kweli aisee. Mambo mengine nadhani wala hayahitaji hela kubwa
 
Bongo kumejaa sheria nyingi ndogondogo nzuri tu amabzo zingetumika zingeondoa kama si kupunguza kwa kiasi kikubwa hitilafu zilizopo; lakini zimeachwa na zinazotekelezwa ni zile za kukimbizana na machinga na mama ntilie ama kufunga mabaa; kwa kuwa huko kuna maslahi kwa watendaji
Hapo umesema .. hatimaye wakizinduka na kuanza kutumia hizo sheria itakuwa ni too late. Wataishia kwenye solutions za kihasara kama bomoabomoa, nk.
 
Back
Top Bottom