Kumbe MO11 ulikua kilaza

Nilikuwa kwenye harakati za mwisho za kukufikiria ila naona umevuka mipaka

Kuanzia leo nalivua pendo lako(sura nimekunja balaa)

Hahahahaaa! una wivu Honey.

Mi lav yuu mingi mingi hujui tu weye!

miss neddy njoo uniombee shem wangu.
 
Hahahahaaa! una wivu Honey.

Mi lav yuu mingi mingi hujui tu weye!

miss neddy njoo uniombee shem wangu.

Mhhhhh???wewe utasababisha niikose ndoa yangu na ili hali una michepuko kibaoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…