Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Nakutiming tu!
Wee ngoja tu!
miss neddy huyu shemeji ni huu huu ushemeji ndugu na kaka au kuna ushemeji mwengine duniani??kumpata tu unashindwa huko kuoga anaoga ndotoni au ??
miss neddy huyu shemeji ni huu huu ushemeji ndugu na kaka au kuna ushemeji mwengine duniani??
hahaha sasa wote mnitiming mm hamuoni aibu
husband we si ndo ndugu yako huyo jamani
Aibu ya nini?
Imeandikwa 'kila mbuzi atakula kwa mjibu wa urefu wa kamba yake' Likamba langu likubwa kweli!
Sio mbaya ukijipa moyo, miss neddy ameenda kuoga hapa nimeshika simu yake nataka nijibu pale ulipo mention jina lake....
Nashangaa nimempa lift anapiga honi, vp uyu jamaa??
miss neddy 16:22 Today
By utafiti :
Nakuja pm kwanza
hahahaha usije kabisaaaa
kumbe simu unayo pm waenda fanyanini, au changa tu tisha
Sasa hivi majeshi umeyaamishia kwa mdogo wangu?
Me #teamkiba sina mda wa mashairi ya nyuki ya diamond
(Duh! hii noma sasa!)
Hapana Honey wangu, miss neddy ni shem wangu kwa broo wangu utafiti.
Hata broo anatambua hilo! hapa nakwenda na mila tu.
Cc: utafiti.