Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Huyu mtu sasa nitamfunga umeme.....
sister unanipeperushia ndege wangu
japo sikatai sisi ni wabishi
Najilazimisha kuamini miss ila namuona kila siku anaongeza step moja mbele
ningefika darasa la saba ningekuwa natengeneza mabomu ila kwa hapa natengeneza bastola na vibomu vidogo dogo namuuzia Jambazi na KakaJambazi
mkuu sikiliza nyimbo ya shetta ft Diamond nidanganye
mkuu sikiliza nyimbo ya shetta ft Diamond nidanganye
Hii shemeji shemeji hii.... miss unajua me moyo wangu??
na revenge tena na mm ..............
Miss.....
hahaha dawa ya moto ni moto lol
Nakuja pm kwanza
Etiiiiiii
Mzigo unao...?