Kumbe MO11 ni mtangazaji wa TV ?

Kumbe MO11 ni mtangazaji wa TV ?

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Hapa akisoma taatifa ya habari.
 

Attachments

  • 1418285009314.jpg
    1418285009314.jpg
    33.6 KB · Views: 869
Loooh watangazaji wote wangekuwa na tabasamu la asili kama huyu, mtu huchoki kuangalia tv kwa kweli

kumbe akina dada mnapenda tabasamu maana kuna dada kadata na mimi kisa akinikuta muda wowote nipo happy
 
Nikikutangazia moja kwa moja kutoka viwanja vya MMU mimi KikulachoChako wa JamiiForum TV..........
 
kumbe akina dada mnapenda tabasamu maana kuna dada kadata na mimi kisa akinikuta muda wowote nipo happy

Nahivi ndio maradhi yako, basi "happy" inaongezeka mara mbili mkuu.
 
ukinikuta nimetulia nipo jamiiforum huwa nasmile tu muda mwengine nacheka hata nilichoandika mimi

Hivi ulishawahi kukasirika?? Maana tabasabu mwanzo mwisho
 
Hivi ulishawahi kukasirika?? Maana tabasabu mwanzo mwisho

kwangu all is well chochote kinachotokea ni lazima kitokee whatever ni mara chache sana nimekasirika
 
Back
Top Bottom