Hahahaaaaamwenye ushungi
Wanaonekana walimu kabisaNimeona sehem MMU wana timu ya mpira nikaona huyo aliyevaa namba tano nikafikiri nikawaza nkasema au ndo Miss Natafuta na ka wezele kake? Maana ndo alisema anafanya sana mazoezi, Natania tu ila anzisheni timu ya kupunguza sumu mwilini,
View attachment 789140
Hahaha acha ufisi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sanaAisee uyo mumu mimi kwake taabani dah!
Haki ya mungu nikiambiwa nitoe ndugu kwajiri yake namtoa tu [emoji23]Hahaha acha ufisi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana
Mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namba 14 kama mumu
Mumu?Aisee uyo mumu mimi kwake taabani dah!
Kama ndiyo upo ivyo dah! MashalaahMumu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama ndiyo upo ivyo dah! Mashalaah
Nimemuona Shunie aisee