Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Hii hapa @ cute b
 

Attachments

  • wp_ss_20150612_0006.png
    21.5 KB · Views: 136
Ngoja niulize swali Nifah amedissiwa na nifah kimavi sasa kwani huyo alie diss anakufahamu kwa sura au kimtandao mtandao?
 
Hii hapa @ cute b

Ngoja nikuambie Dinazard utu uzima dawa. Huyu mtu anajaribu kutengeneza mazingira ya nifah kuchukia watu humu.
Anataka nifah aanze kuwa hisi wale aliowaambia ata wa add. Ila nina uhakika huyu haja addiwa kule na pia ata nifah hajamshirikisha kasoma tuu kwenye comment basi akaona apa apa ngoja nimtengenezee mtu bifu. Na nimeshajua huyu mtu amlenga nani ambae nifah lazma amhisi.
Ila najua nifah ni mwelewa.
 
Last edited by a moderator:


kasema yumo group ,ngoja nikaangalie group kama Kuna I'd mpy nione
 
Last edited by a moderator:

uko sawa kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Mimba hiyo ni ya baba yako jiandae kupata mdogo wako coz baba yako ni mchepuko mno na msimnyime urithi huyu mtoto mwenzenu……
 
nenda kwa sinta blog Uzi wa pili hujaona Kuna picha mwanamke kavaa surual,bonyeza hapo usome koment anasema shepu shepu

Nimeona mamy.
Ivi kwa nin mtu anakaa kujitengenezea ma bifu ya ajabu ajabu na watu asio wajua.
Huu ni ulimbukeni uliopita maelezo.
Binafsi mimi ni team kiba na team wema sibisi na bifu za kwenye uteam zinaishiaga hapo hapo tukitoka apo wote marafiki zangu. Na simchukii mtu yoyote kwa ajili yupo team flan coz kama tukiwa wote team moja hapatakuwa na changamoto. Kwa kifupi huyu dada aliyeandika kazingua na simpongezi ata chembe. Mazafanta
 


watu wengine hawalijui Hilo,kila mtu awe timu yake lakini tusichukianee,ndio vile kila mtu na mawazo yake hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…