Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Unajua maana ya michepuko?

Picha za ajabu ukirusha wewe ndio unazani ni kila mtu?

Zari yupo juu jamani hadi raha naona mnamzungumzia kwa maumivu yenubwakati yeye kala.lia chake
 
Si ndio vizuri mtu anafunga mwezi mzima bila yale mambo kukatisha?

Kumbe hamuyapendi eenh?? Hahaha. Ila hairuhusiwi. Mtoto anatakiwa apate lishe. Huko tumboni
 
asa si ndo zarina jamani sifa zake hizooo....!!
 
Unajua maana ya michepuko?

Picha za ajabu ukirusha wewe ndio unazani ni kila mtu?

Zari yupo juu jamani hadi raha naona mnamzungumzia kwa maumivu yenubwakati yeye kala.lia chake

Heheheeeeeee zari anachepuka kwa ndomo AKA serenget boy. Na hajiheshimu
 
Kumbe hamuyapendi eenh?? Hahaha. Ila hairuhusiwi. Mtoto anatakiwa apate lishe. Huko tumboni

Gosh, kumbe wewe mwanaume? Ila mimba changa hakuna ubaya kufunga.
Labda ya miezi minne na kuendelea ila mwezi 1-3 mimi naona ni kujiendekeza tu.
Pia usisahau katika Quran tumeambiwa ni sunna tukifanya lolote la kukatisha yale mambo ili tufunge mwezi mzima.
 
Uwiii shost mpana weyeee kumbe na kununa alinuna...looh adi machozi alilia eti akazuga ni furaha iliyopitiliza...
Kwa hiyo sio kwamba zile pesa zote za viingilio ni zao?...looohhh hahahaaaa ndo maana zari alikuwa anacheza kama hataki
 
Mashallah...... Stay strong

Naondoka ktk hii convo.
 
Uwiii shost mpana weyeee kumbe na kununa alinuna...looh adi machozi alilia eti akazuga ni furaha iliyopitiliza...
Kwa hiyo sio kwamba zile pesa zote za viingilio ni zao?...looohhh hahahaaaa ndo maana zari alikuwa anacheza kama hataki

Hahahahaaa, kwani unadhani wale team domo wajanja wa mjini hawajui hii issue? Tena huyo mmoja nina uhakika anajua kila kitu basi tu hawezi kusema.
Achana na wale washamba wengine. ..

Ndio hivyo mwenzangu, ile show iliingiza pesa ndefu tofauti na waliyopewa.
 
Hahahaaaaa kumbeeeee
 
nendeni kwa fontanacute ig mkaona mambo hukoo
team nisha walivyo washenzii
 
Kila laheri kwa baba kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…