Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Naona wanataka tuje na ushahidi wa uchafu wa Zari.
Zari namkubali ila kahaba.
Anaitwa UN summit so hapo ngoma droo.
Shoga unamuangalia Saada Mkuya lakini? Sio tupige umbea tu.
Tukumbuke vitu muhimu kama hivi...
Mkuu Tatizo lao hawataki kukubali kuwa Zari ni Mwanamke mwenye akili........
Wao wanamshabikia Pros maarufu wa Afrika mashariki na kati
Wakati zari ni mjasiriamali mwenye akili...amewaonesha kwenye white party
sihitaji kukujua physically....the way you are writting tells alot about You...You are easilly predictable
hv unajua anko ashammimbaga b.mkubwa ila akachomoa kibendiii kuogopa nomaaaaa
Atleast ni malaya mwenye kiwango sio kama wema jamani kina mr blue, munyama mmh cheki hata kalulu ni ka malaya lakini kako classic
Ndo nashangaa hilo hawalioni. Kwa wengine ndo wanaliona. Tena huyu bibie zari ni mzuri ila hatulii pamoja na kuwa na watoto hakitulizi. Ndo hasara za kuvuka stage moja hyo.
Ndio namuangalia hapa akisoma mambo ya muhimu kitaifa.
hv unajua anko ashammimbaga b.mkubwa ila akachomoa kibendiii kuogopa nomaaaaa
hv unajua anko ashammimbaga b.mkubwa ila akachomoa kibendiii kuogopa nomaaaaa
Nimefanikiwa kupaint mabango matatu makubwa yenye herufi kubwa #BRINGBACKOURBOI
Alhamdulillah nimeweza kujizuia kutokuandika nilichotaka kuandika!
Hakika Mungu ni mkubwa!
Wewe ni tapeli kabisa.
Hahahahahaha...andika tu.....Kwani for average...You are so predictable on what you would have written
Pale alikua karogwa tena.
Kamuulize mama Wema.