Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Well am glad.
Ila haiondoi ukweli kuwa Wema naye ni binadamu ana ubongo kama mimi.
Amefanikiwa kufungua kampuni yake binafsi,
Ana vitega uchumi na miradi mingi ambayo soon ataitangaza,
Aliweza kuyashinda mazingaombwe ya Nassin aliezika kondoo mzima.

ahahhahahaaaa!!vitega uchumi........
...........................no network!
miradi mingiii..............loading failed!!
kampuni yake.....................43%!
oophhhh!mama ubaya kiboko
 

Ikumbukwe pia mama Dai alishawahi kuitwa hilo neno malaya
Let me save the history things.
 
Hahahahaaa, wakati mwingine sio kila kinachofanywa na wapinzani ni kibaya, sisi tunamsapoti mama yetu bwana.
UCHUNGU WA BWANA AUJUAYE MWANAMKE!

Mkuu nina wasiwasi wewe genye huwa haziishi
 


hhhahaahaaawa bringback our serebooo

labda mwaka jana!
 
And then thats just a story with no evidence

Hahahahahhahahahahahahahah...Atafungua duka South Afrika sio?

Na hata kiosk hana Tanzania?

Kweli nyie mashabiki wa gagagudu mmelogwa.

Namfahamu wema alivokuwa anakuja namchoropoa vimimba vyake

Wewe ni mganga wa kienyeji au tabibu?
 
Hahahahahah..Taarifa za uhakika anazo Nifah...doh...hii kali...enheee taarifa za uhakika zingine ni zipi?

Kaa kimya taahira wewe, usinichukulie poa maana hunijui.Huyo chibu unayemuona wa maana leo wenzio tulikua tunamdharau huku kitaa enzi hizo.
Vipi nisijue habari zake? Sio kila kitu udandie, utadandia hadi MPINI WA MOTO mwanaume.....shauri zako.
 
Hahaaaaa huyu anko Salehe kiboko aisee hana huruma kabisa kamlambisha ndimu mama wa watu Mpaka kachoka ndimu zikamshinda na maumivu yalivozidi wakampeleka India kumwona Daktari loh! Hatari sana.


hv unajua anko ashammimbaga b.mkubwa ila akachomoa kibendiii kuogopa nomaaaaa
 
Atleast ni malaya mwenye kiwango sio kama wema jamani kina mr blue, munyama mmh cheki hata kalulu ni ka malaya lakini kako classic

Malaya ni malaya tuuu,
Awe mweupe au mweusi, Awe na mtoto au hana, awe mganda au mtz, awe class au shabby,awe mfupi au mrefu.
Malaya ni malaya tu.
Mkuki kwa nguruwe.
 
Kaa kimya taahira wewe, usinichukulie poa maana hunijui.Huyo chibu unayemuona wa maana leo wenzio tulikua tunamdharau huku kitaa enzi hizo.
Vipi nisijue habari zake? Sio kila kitu udandie, utadandia hadi MPINI WA MOTO mwanaume.....shauri zako.

sihitaji kukujua physically....the way you are writting tells alot about You...You are easilly predictable
 

Thinking beyond borders ni kumzushia Wema habari kuwa ulimtoa mimba saba???
 
ahahhahahaaaa!!vitega uchumi........
...........................no network!
miradi mingiii..............loading failed!!
kampuni yake.....................43%!
oophhhh!mama ubaya kiboko

Let us wait buanaa
 
Malaya ni malaya tuuu,
Awe mweupe au mweusi, Awe na mtoto au hana, awe mganda au mtz, awe class au shabby,awe mfupi au mrefu.
Malaya ni malaya tu.
Mkuki kwa nguruwe.
Ha ha ha slow down.....hapa hakuna mkuki wala nchale
 
tenaaaaaaaaaa
mtu mzima hovyoooo hajiheshimu kutwa kuzunguka na dogodogo ndo maana anashindwa kumuonya ht mwanae kila siku kubadili sample

wanavyotukanwa wazazi wa wema mnona raha eeeeee
ama kweli mtenda akitendewaa...m

Jimama zima lijilengeshe lenyewe kwa serengeti boy halafu mie niumie au niache kusema inahusu?
Hizi voice notes tu watu wanamwaga povu siku video ikiwekwa si watazimia?
Iko wazi mama chibu ni mshenzi ndio maana baba chibu alimshindwa.Halafu leo hii Domo anamchunia baba yake, anajua mama yake alimfanya nini? Kama mambo yenyewe ndio haya baba yuko sahihi kabisa.
Japo nae alikosea kumtelekeza mtoto ila mama alichangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…