Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Hyo ndo habari ya mjini ya mama na Serengeti boy ake ama kweli wonders shall never end indeed. Huyu jimama hana issue atafta kiki nyingine ile ilikua ya white party.
Sasa naona na mama MTU wanapishana na mwanae kwenye Ku make headlines.

Hahahahaaa, ila ya mama ni kiboko aisee.Sibiri jana nilimrequest shangaziyakemati akinikubalia tu napiga screen shots naleta huku.Maana nasikia ubuyu unaendekea kule kwake.
Hatariiiiiii.
 
Kuna siku walienda zanzibar, wakapanda boti, akamwambia 'Nassib funua iyo vesti', akavuta penso ya Nassib kama anachungulia kidole mle ndani afu akasema , 'Kifesi please take a photo!'.


Hhaahahahhahaha...hapa umenichekesha
 

Mimi kama mwanamke, hili swala limeniuma sana.
Sasa naungana na mama Rommy Jones kuandamana mpaka Salehe arudi.
Ujue Freeland hujui wewe uchungu wa kukimbiwa na mwanaume akaoe mke mwingine.
Sasa itokee huyo mwanaume awe anakufikisha kunako kwa kiuno balaa.
Hela utatoa, unaweza hata kuroga ujue.
Bora kuandamana tu kama vipi.
Jamani ee natengeneza mabango hapa.
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa, huyo wema hamtoki akilini sijui alimnyima nini.
Thread haimhusu lakini kakazana na wema, wema.
Halafu huyu mgeni sijui? Tokea lini sisi tukawa mashabiki wa wema?
Umbea una wenyewe bwana, kudandia gari kwa mbele tu.

Ndo namushangaaa huyu jamaaa kila Uzi lazma amtaje Wema sijui alimulia sperms zake mana si buree aisee. Ya kumtoa mimba kila siku anai andikaga jukwaani.
Arudi kwenye topic haya mambo ya Wema na picha zake hazituhusu siye. Umbea una wenyewe hasa ka huna kifua na hauko neutral unaweza kuugua bureee.
 

Hio kampeni yako haina neno endelea nayo tu....hahahaha
 
mzurimie, mimi nawewe tunapitiaga wakati mgumu sana kupondwa kule kwa Mange kwa kuwa tukiwa tunatoa hoja zetu nzito nzito, misukule inapagawa sana.
Kipekee naomba tuungane wanawake wote wa jukwaa hili katika kampeni ya #BRINGBACK OUR BOi.
Nadhani itazaa matunda.
 
Last edited by a moderator:
Zarina alikua haoshi rungu hili, linazama lingine...miss you.
Mish u pia, mi hizi habari za kurelate eti mimba na muda walokutana naona ni usengerema tu, wanaassume walipotangaza project ndo walipoanza mahusiano mmh vipi kama b ikiwa wapenzi muda tu kisiri siri....mfyuuuuu
 

Jamani, twende mbele turudi nyuma.
WEMA IS IRRESISTIBLE.
Ni kama maji, usipoyanywa utayaoga.Usipoyaoga utayachambia kama iviiii...
Mimi huwa nipo against na matendo ya Wema ila simchukii kama huyu jamaa.Huyu ni obsessed admirer sio siri.
 
Mkuu...unajua mimi hua nashangaa saana.....hawa watu wanaoshabikia watu wa dizaini za wema....Ni shida


She is a proffesional Pros

nipe tofauti ya daimond na wema kwenye umalaya baas
au zari sio malaya yulee...

usitake tumponde hapaaa
namkubali sana zari ila ni malaya tena umalaya wa zariiiiiina hassan ni wa aibu tupu..!!
mama wa watoto watatu unahaha AFRIKA mashariki na kati kusaka viserengeti ptuuiiiiiuuuuiiiiii

zari ni mzuri sana ila sifa yake kubwa ni ukahabaaaaa
 
Hhaahhahahahaha...my Godness....Wema ndiye boss wenu...who doesnt know....

Mtu anaenda kuuza anakuja kuwalipa nyie

Wema atakufanya uchizike kabisa mana kumtaja wema ndo defence mechanism yako eeeh.
For ua information hata kama unamchukia vipi Wema haihalishi wengine kutomkubali. Naona unaanza kuhisi eti Wema ni boss wetu utajibeba na chuki zako kwake teh teh teh teh😀😀😀😀
Sasa hata akiuza we we inakuuma nini labda papuchi yake acha isuguliwe atakavyo, Mimi hainihusu ingekua yangu Sawa tu hata we we chako kitumie vizuri tu ili wengine wakisuguliwe uwe una take chill pill.😎😎
 
Nyota njema hung'ara toka asubuhi.. tangu aanze kufwanya wakina kidoti isitokee wabebe mimba na akati kila mtu alitamani kubebe mimba ya domo lol.
Kweli zari kiboko kafanya yake kutembelea nyota ya domo tz mweeeeeeeeee
Na zile walizotupa kwa mjomba dokta zilikua zako ha ha ha mlisema anavimbisha tumbo, mara hana mimba kashiba matoke sahivi mnasema sio ya dai akizaliwa princess mtasema sio mtoto ni mdoli pyeeeeeeeeee muishie kule zari ndo huyooooo kaokota apple chini ya mwembe ongeeni tu ndo kazi ya mdomo hiyo
 
Hapo sasa, wengine ndio watu ila wema yeye sio mtu.
Halafu anasema wenzie kana kwamba anachokifanya yeye ndio sahihi.

Watu wengine buuuuana sijui wakoje kwa Wema ni Sawa ila kwa wengine kosa.
 

Wema utaishia kumpigia nyeto tu..Huna ubavu wa kummiliki japo kwa bahati mbaya.
 

Attachments

  • 1434029190517.jpg
    24.8 KB · Views: 112
Ivi....vimisemo vingine haviwapendezi wanaume.
Malimao ale Zarina alogonganisha mabwana mpaka sie wambeya tumejikuta katika hali ngumu kuelewa DNA ya kujua mtoto ni wa kike ilifanyikaje fanyikaje na kwa teknolojia ipiii...dna na jinsia kaah


yani MUNGU fundi jamani hakupi vyoteeee
mdada mzuri ila chaangu huyo haifai
kutwa kucha kukigongesha mbaya zaidi kabeba mimba ya baba mwingine
hv zile akili matopeee
watoto wa3 baba mmoja unaongeza mwingine baba tofauti duuuuhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…