kuna jambo jipya sasa naliona chadema, inaonekana chama hakina watu wengine wenye uwezo wa kutuliza upepo na propaganda za vyama vingine kwani kila hoja ikija Marando wa kwanza kujibu.Marando ambaye ni mwanasheria anayepoteza sifa sasa hapa nchini kwa kushabikia uongo majukwaani amehamia chadema mwaka jana na sasa anajifanya anaijua sana chadema kuliko waliomo! hebu marando na wenzake watuoneshe uhakika wa mshahala wa katibu mkuu ccm walioutangaza.marando,Dr slaa na mbowe huko kanda ya ziwa alipiga kelele sana kudai mshahara wanayolipwa wabunge na viongozi ni ya kifisadi akimaanaisha milioni 6,000,000/=