Kumbe marando ndo katibu mwenezi wa chadema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe marando ndo katibu mwenezi wa chadema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanyasu, May 13, 2011.

 1. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna jambo jipya sasa naliona chadema, inaonekana chama hakina watu wengine wenye uwezo wa kutuliza upepo na propaganda za vyama vingine kwani kila hoja ikija Marando wa kwanza kujibu.Marando ambaye ni mwanasheria anayepoteza sifa sasa hapa nchini kwa kushabikia uongo majukwaani amehamia chadema mwaka jana na sasa anajifanya anaijua sana chadema kuliko waliomo! hebu marando na wenzake watuoneshe uhakika wa mshahala wa katibu mkuu ccm walioutangaza.marando,Dr slaa na mbowe huko kanda ya ziwa alipiga kelele sana kudai mshahara wanayolipwa wabunge na viongozi ni ya kifisadi akimaanaisha milioni 6,000,000/=
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umekunywa chai? au ndio umekurupuka tu????
   
 3. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unazani nimekurupuka hujaelewa nilichoandika. nazani wewe ndo unakurupuka kujibu bila kusoma na kuelewa.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Shut up your mouth!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you shut up ur bakuli! kama unazani kukuunga mkono ni lazima kukubali kila jambo wewe ni mshamba!
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  heading ya uzi na yaliyomo hayaendani...
   
 7. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaelewa maana ya katibu mwenezi?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Beba kopo katawaze ebo!
   
 9. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wewe ndo mshauri wa wa siasa wa chadema nazani chama kitafika mbali sana.inaonekana hata maneno yako yanatoa harufu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Unamfananisha Marando na Tambwe Hiza au Salva Rweyemamu? Ni Mguu kwa mguu,hakuna kulala. Hebu jibu hoja zake hapa: kwanini Nape Nnauye hajajiuzulu U DC? Kwanini alitaka kuhamia CDM akatulizwa kwa kupewa U DC baada ya kukataliwa kujiunga CDM? Kwanini alishiriki kuchafua hewa kwa kuanzisha CCJ? Hayo ndio maswali unayotakiwa kujibu hapa
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umedumaa akili wewe! Side effects of inbreeding
   
 12. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo rev ulimaanisha milioni sita au??? koz hiyo ni pesa mingi sana Rev......

  Ila tuwe wakweli... inakua ngumu kuona unaongea hiki then unafanya kile... its Dr. Slaa alilalamikia mishahara ya wabunge kuwa ni mikubwa sana. Sasa kama yeye atakua anachukua mil. 7 monthly then he didn't mean what he said. he is too political. he doesn't bring out his politics in reality. rev has written some sense here. its tym up we need to put our nation's development on fore front and lets stop being blown by political wind.

  Practice what u preach. CHADEMA has alot of followers ryt now and its because they are revealing CCM's stupidity. So it doesn't bring sense if u r stupid and still preaching others stupidity.

  Think and Take action.
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa sijui kuwa hata ubongo unaweza kupata kwikwi
   
 14. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Umepiga mswakiiiii???? Culprit, puppet, idiot, haemophrodite, sexless, stop exposing ur ignorance, arrogance, mentally retarded, dwarf brain, na hutaamka kamwe, lala, hysteria at its peak
   
 15. t

  tumpale JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kanyasu wanakutumia bila kuzingatia uwezo wako, huna uwezo wa kujenga hoja kiasi ukafanikiwa kumshawishi hata mtoto wa miaka mitano. rudi darasani kasome katibu mwenezi ni nani na ana majukumu yapi. waambie waajiri wako watangaze nafasi ya kazi upya, wewe umepwaya, hautoshi kwenye nafasi hii
   
 16. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwanza akajifunze Kiswahili. Maana kama Lugha yake tu (Mother tongue) haielewi, Mshahara anasema Mshahala, je mambo ya kuchambua kwa kutumia akili atayaweza! He is among those mentally castrated!
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  katibu mwenezi ndio nini?
  hayo ni mambo ya ccm,huku hakuna katibu mwenezi (ajira za kipuuzi)
  katibu mwenezi?unataka kufananisha chadema na sisiemu?
   
 18. M

  Mwanatarime Member

  #18
  May 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "Everyone is intelligent until he/she opens his/her mouth" Tafakari kisha chukua hatua.
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Hivi kanyafu ukisoma huu uzi si unaona kabisa siku yako imedorora? Waombe mods waifutilie mbali uepukane na stress
   
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tatizo la jamaa ni kuwa "ANAZANI" badala ya "KUDHANI".

  Mnajua nini mnatakiwa kufanya na watu wanaoZANI.
   
Loading...