Sipendi itikadi za huyo mange kiufup hata akiwa na bifu na salama anatafuta umaarufu tu,salama ni mtu mwenye heshima na ethic ktk taaluma yake huwez kumfananisha na huyo mtafuta kik za lazima
Hata shetani akiona atakimbia
Salama na Mange ndo akina nani?