Kumbe Mama Magufuli ni left!

BigBro

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
3,487
11,073
nu1.JPG

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni leo mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam alikotembelea na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.

Source: robertokanda.blogspot.com
 
Mm sijaona kitu cha maana cha kujadili hapi ,kama anatumia mkono wa kushoto sasa sis watanzania tufanyeje??

Wewe kama umeona hivyo it's OK, lakini kuna wengine hawajui hilo, sasa kunihusisha na Lumumba kunakujaje. Be gentlemen (Maamini wewe ni He).
 
Wewe kama umeona hivyo it's OK, lakini kuna wengine hawajui hilo, sasa kunihusisha na Lumumba kunakujaje. Be gentlemen (Maamini wewe ni He).
Ndo maana naona hiz habari za kutumia mkono wa left zina faa sana kwenye gazet la uhuru..ndo wanapenda kuandika hizo habari
 
First Lady sio wa Lumumba tu bali ni wa watanzania wote. Mleta mada umefanya vizuri kufahamisha ushiriki wa First Lady katika kuhudumia makundi maalum katika jamii. tumemjua na tunapongeza hatua hii
Achana nae huyo,analeta ushabiki wa simba na yanga.
 
Ndo maana naona hiz habari za kutumia mkono wa left zina faa sana kwenye gazet la uhuru..ndo wanapenda kuandika hizo habari

Mimi sijui hilo, kwa sababu mimi si msomaji wa magazeti!
 
Sipendi ligi .....ila nakuambia ukwel ,habar za left sio tija kwa mwananchi wa kawaida...
Ili msisumbuane sna andika kuwa ...........................mama Lowasa akiwa natumia mkono wa kulia...........................
 
Ndo maana naona hiz habari za kutumia mkono wa left zina faa sana kwenye gazet la uhuru..ndo wanapenda kuandika hizo habari
Mkuu, unajua we ndio umenistua? Mi nilivyoona kichwa cha habari nikadhani mama Magufuli kaachwa, kumbe ni mashoto? Sasa hapa tunajadiri nini? Hili jukwaa sasa hivi kweli limepoteza maana aise.
 
Ili msisumbuane sna andika kuwa ...........................mama Lowasa akiwa natumia mkono wa kulia...........................
mlizani ni huyo mkee wa nywele nyeupe? Nahisi angekuwa yeye angefisadi hiyo misaada. Poleni sana inawauma mno.
 
Mkuu unapenda sana Ligi zisizo na maana, haya endelea. Hii ni mara ya pili sasa.
Watu wanajifanya tu hapa.

Nani asiyejua maLeft handed ni wachache hivyo kuonwa kwa jicho la kipekee. Mtu akikujua tu ni left handed atauliza heh kumbe mashoto.

Acheni wivu basi. Haha. Me mwenyewe mashoto.
 
Good news, wanaochallenge wamechanganyikiwa. Mbona watu wao wakifanya vitu visivyo na tija wanasupport. Ignore them
 
haya hongera wewe nikijana mdadisi, kachunguze na mguu anatumia upi uje tuujadili
 
Back
Top Bottom