Kumbe Makongoro anaongea kama baba yake?

Wala hajanivutia kabisa.

Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
 
Nilicheka wakati jamaa wanasema tumuenzi mwalimu kwa kumuweka makongoro magogoni... kwa hiyo na mwinyi tutamuenzi.. mkapa.. kikwete... kisha tunarudi tena kwa makongoro..... dash dash mwinyi... then dash dash mkapa..... what a circle......
 
Yetu macho na masikio.
Ninachotaka mimi ni kiongozi bora bila kujali anatoka wapi na ana jina gani.

Chugio la kamati kuu ndio mpango mzima wa kumpata mgombea uraisi wa CCM.Kamati kuu ndio mwiba sio utilili wa wenye nia.Kama ingekuwa Marekani demokrasi ingechukua mkondo wake,lakini hii ni Tanzania.Sishangai ukasikia Makongoro atakuwemo kwenye finalist japo uwezo au upeo wake haueleweki vizuri kwa walio wengi
 

hapo pekundu unaposema sisi unamaanisha wewe na nani? je umepewa haki ya kuwazungumzia wengine na nani?, jitafakari!!!!!!
 
LIKUD

Sikuhizi kaacha yale maji maupe yanayokatazwa kutumiwa?
 
Last edited by a moderator:

Lakini hivyo ndivyo wafanyavyo chadema,lawama nyingi kwa ccm basi.
 

Wengine kwa jinsi wapendavyo wanawake wameiba hadi wanawake wa watu.
 
Umesikia kicheko chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…