Kumbe kwenu ndivyo mlivyo?!!!!!!!

Kumbe kwenu ndivyo mlivyo?!!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
NANI ZAIDI
1. Mmeru anayeenda benki na spana kufungua akaunti.
2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi.
3. M'kwereanayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani.
4. Msukuma aliye nurse anayemwamsha mgonjwa usingizini ili ampe dawa ya usingizi kwa sababu alikuwa amesahau.
5. Mzaramo anayepunguza sauti ya tv ili asome sms ya simu.
6.Mluguru anayepanda kwenye mwembe kuchagua yaliyoiva halafu anashuka na kuyaangua kwa kuyarushia mawe.
7. Mmachinga aliyekagua kipande cha barafu ili ajue wapi kimetoboka maana kinavuja maji.
8. Mngoni anayeng'arisha viatu vyake ili apige picha ya passport size.
9. Mhaya aliyepiga magoti kwenye simu akiomba awe accepted at Makerere Univesiti..

 
Afadhali mm mmalawi simo humo maana huyu mwaikimba akawii kukuripot polisi posti
 
NANI ZAIDI

9. Mhaya aliyepiga magoti kwenye simu akiomba awe accepted at Makerere Univesiti..


Papaa Bishanga kuja huku.
 
Last edited by a moderator:
NANI ZAIDI
1. Mmeru anayeenda benki na spana kufungua akaunti.
2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi.
3. M'kwereanayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani.
4. Msukuma aliye nurse anayemwamsha mgonjwa usingizini ili ampe dawa ya usingizi kwa sababu alikuwa amesahau.
5. Mzaramo anayepunguza sauti ya tv ili asome sms ya simu.
6.Mluguru anayepanda kwenye mwembe kuchagua yaliyoiva halafu anashuka na kuyaangua kwa kuyarushia mawe.
7. Mmachinga aliyekagua kipande cha barafu ili ajue wapi kimetoboka maana kinavuja maji.
8. Mngoni anayeng'arisha viatu vyake ili apige picha ya passport size.
9. Mhaya aliyepiga magoti kwenye simu akiomba awe accepted at Makerere Univesiti..


@na Bujibuji aliyeuza ng'ombe ili atetee kesi ya kuku?
 
Last edited by a moderator:
Papaa Bishanga kuja huku.
Mzee mi namshangaa Bujibuji alimpeleka bibi yake dinner Serena,dem kala kasaza yeye hakula anajitia eti tumbo linamsokota ,mkwanja wote kaishia kulipa bill baadae baada ya kum drop kimwana akaonekana anafakamia mikuku ya barabarani american chips.
 
Bishanga. Hapa sitii neno, ngoja nmuite Bujibuji aje kulonga.

Bujibuji Tafadhali kuja huku.
 
Last edited by a moderator:
Kuna yule aliyepanda daladala na mzigo wake kichwani..
..somewhere in Dodoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom