NANI ZAIDI
1. Mpare anayeenda benki na spana kufungua akaunt
2. Msambaa anayevua viatu kuingia kwenye taxi
3. Mzigua anayeingia kitandani na rula kupima atalala kwa muda gani
4. Msukuma aliye nurse anayemwamsha mgonjwa usingizini ili ampe dawa ya usingizi kwa sababu alikuwa amesahau
5. Mzaramo anayepunguza sauti ya tv ili asome sms ya simu
6.Mluguru anayepanda kwenye mwembe kuchagua yaliyoiva halafu anashuka na kokwa