Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Mchagga anayeweka kalamu tatu kwenye mfuko wa shati wakati hana hata nauli ya daladala.
Mbona umewalenga wachaga Me tu au na Ke nao huvaa mashati?
Mchagga anayeweka kalamu tatu kwenye mfuko wa shati wakati hana hata nauli ya daladala.
hahahaahahahahahahaahahahah aisee nilijua hii thread haitafika hata wachangiaji kumo hamjamtaja mchaga hahaahahahMchagga anayeweka kalamu tatu kwenye mfuko wa shati wakati hana hata nauli ya daladala.
kabila lako halijatajwa nin...?mi simooo....
hahaha labda yey anajua choo ni mpaka yale magumu....Mpogoro anayempeleka mtoto hospitali na kumwambia Doctor mtoto wangu hapati choo lakini anaharisha sana.
Mpogoro anayempeleka mtoto hospitali na kumwambia Doctor mtoto wangu hapati choo lakini anaharisha sana.

hahahahahahaaa...... BAK umeua LOL!!!!!
LOL!! Lady doctor hahahahahaha.... Laughter is always good for your health. Laughter adds more years to your life span.
Mchagga anayeweka kalamu tatu kwenye mfuko wa shati wakati hana hata nauli ya daladala.
hahaha mama umenikumbusha mbali kua jamaa namfahamu ye alikuwa anauza mitumba ila akitoka home yuko smart utadhan anafanya kwenye kampuni fulani kabiga miwani ya gharama peni nyingi mfukoni walet inachungulia,
pengine hgaina hata hela kiatu hatari kinangaa kumbe anaenda kwenye kibanda chake cha mitumba.
ila mungu mkubwa usmart wake na heshima kazini ilimtoa hana hata elimu sasa ni kiongozi futani wa ngazi ya chini serikalini mambo yake safi. chezea chagaaaaz weye