Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Champion mshana jr Mkuu tuhamishe biashara soko la juu..... hapa hakuna watumiaji (warambaji) asali....Wape wape wapeeeeeee....na maua yao....sie twataka tende au halua ati.....tunahitaji spice kidogo!
Yee, yamenikuta yakujitakia..... tenda heri ulipwe shari !! Queen.. taabu na masumbuko yote ni kwa ajili yako..... umeanza ukali !! kabla sjamaliz '
Kamanda Mkuu, Bidhaa zetu ni international commodity... soko lipo bila wasi !!Nimeliona hilo Kamanda ila wasijue hawa
Nakushukuru kwa hilo !!! unajidefend hivyo kulikoni!!Siyo ukali,kwanini uniongelee kama third party...nikajua unamzungumzia queen mwingine....lazima ni-provoke nijue bado mimi ndo queen pekee....huo sio ukali, i protect and fight for what belongs to me....sio rahisi kupata aina yako ujue.
Nakushukuru kwa hilo !!! unajidefend hivyo kulikoni!!
Tena kwa foleni ni kwakuwa ni genuine na warranty ni 9months
Champion kamanda wangu, mie ninakukubali sana !! sema popte na wakati wote.... tena validity yake haina expire date... full mchimbaji !!Tena kwa foleni ni kwakuwa ni genuine na warranty ni 9months
Sting like bee... Nyuki at work 24/7.... Heshima Yake akiridhsha uwa hurukia lingine hapo Bustanini !!he he he he heeeeee,....mbona mnaisha matumizi haraka hivyo?
Sting like bee... Nyuki at work 24/7.... Heshima Yake akiridhsha uwa hurukia lingine hapo Bustanini !!
Sting like bee... Nyuki at work 24/7.... Heshima Yake akiridhsha uwa hurukia lingine hapo Bustanini !!
Wote mubarikiwe.... Usiku wenu Mwema...watu na maua yao bustanini kwao....sina hata la kuongeza,nimekubali tu matokeo
We had a wonderful n amazing yesternite