Kumbe kweli

Mwenzangu hii ndio inanifanya niwakumbuke wahenga kwani walisema waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba.Mie ngoja nikubali kuwa nimeshindwa game

Hii mada kiukweli sijaielewa

naomba sasa mumueleweshe HoneyFaith hii mada, kwa namna ambayo ataelewa na kujua utofauti na matumizi ya nyuki wadogo na wakubwa.....he he he!
 
Nipo ktk kujenga nyumba ya nyuki.... ili Queen bee atuliye tupate asali kwa wingi !! Deni lako naomba mtume collecter aje kupoke 1st installment... inshalla

kwanini nitume mtu, nakuja mwenyewe....huyo queen bee anayejengewa atakuta queen aah ashaingia ndani ya nyumba....malkia mwenyewe.....sasa Mshana ataamua huo ugomvi
 
naomba sasa mumueleweshe HoneyFaith hii mada, kwa namna ambayo ataelewa na kujua utofauti na matumizi ya nyuki wadogo na wakubwa.....he he he!

Ana bei gani?
 
Ana bei gani?

Aelewe kwanza jamani,bei unaweza hata pewa kitu usichoweza lipia gharama yake.....mwenyewe anaitwa Honey then Faith.......acha kabisa kuuliza bei hapa......mfahamishe kwanza basi,mnaringa na utaalamu wenu sijui vile mnajua hamko wengi wenye huo utaalamu??
 
kwanini nitume mtu, nakuja mwenyewe....huyo queen bee anayejengewa atakuta queen aah ashaingia ndani ya nyumba....malkia mwenyewe.....sasa Mshana ataamua huo ugomvi
Mwenye Bustani hagombani ...yeye hugawa mauwa ya kila aina kwa nyuki na wapendao !!
 
Hayo ndiyo maneno siyo kusema nimtume mtu...mchoyo na maua yako muone kwanza!
Yee, yamenikuta yakujitakia..... tenda heri ulipwe shari !! Queen.. taabu na masumbuko yote ni kwa ajili yako..... umeanza ukali !! kabla sjamaliz '
 
Michelle mwambie huyo mtoto nina imani na bado nikajaaliwa asali....uwiii ni balaa 😀

kashaelewa kabisaaa...balaa lako haliwezi anadai eti ana sumu kali, asijue wenzie tuna dawa ya ku-neutralize hiyo sumu within seconds na alale kama mtoto....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…